Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 960
- 927
sasa unakuta na huyu n mzazi, yaani mwanae ana hasara sana, bora angezaliwa na baba punguani tuJambo rahisi saana
Mchukue mwanao mhamishe mpeleke wanapo amka SAA 1 asubuhi. Kwan umelazimishwa kumsomesha hapo??
Kabla ya kuanza shule uliulizia utaratibu wao WA masomo?? Ukaridhika then unataka wabadilike...
Habari ndugu zangu kuna tatizo kubwa katika hili suala nililowasilisha hapo juu. Shule nyingi kuanzia chekechea hadi kidato cha sita zina matatizo makubwa haswa zile zinazotoa ufaulu wa kiwango cha juu. Wanafunzi wanaamka saa nane na wanalala saa saba usiku ili wakeshe madarasani wakariri. Mwisho wa siku tukienda kwenye majadiliano ya kimikataba tunashindwa kujenga hoja. Mzazi una hela na bado unalipa na mtoto anateseka kwa kuamka saa nane usiku ili shule ipate A zote. Tunawaumiza vijana wetu.
Hakuna aliyefanikiwa kwa kuamka saa 1 asubuhi na kulala kama kuku saa 1 jioni.Habari ndugu zangu kuna tatizo kubwa katika hili suala nililowasilisha hapo juu. Shule nyingi kuanzia chekechea hadi kidato cha sita zina matatizo makubwa haswa zile zinazotoa ufaulu wa kiwango cha juu. Wanafunzi wanaamka saa nane na wanalala saa saba usiku ili wakeshe madarasani wakariri. Mwisho wa siku tukienda kwenye majadiliano ya kimikataba tunashindwa kujenga hoja. Mzazi una hela na bado unalipa na mtoto anateseka kwa kuamka saa nane usiku ili shule ipate A zote. Tunawaumiza vijana wetu.
Kitu ambacho mtoa mada hajui ni kuwa mfumo wa maisha unabadilika kwa kasi sana. Wenzetu huko mbelembele wana ajira zaidi ya moja. Asubuhi anafanya kazi taasisi moja halafu jioni anakuwa na part time sehemu nyingine.Migodini chai wanakunywa saa 10:30 asubuhi shift inaanza saa 11:00 asubuhi unadhani huyo mwanao ataweza..?
Tanzania ndo tayari mfumo uko hivo. Unasomesha Uganda au Kenya?Watanzania wengi tuna akili lakini tuna elimu mbovu. Siamini kwenye tuition wala masomo nje ya muda uliopangwa. Watu wanadhani ni sifa kusoma muda mrefu chini ya walimu wenye uelewa mdogo.
Habari ndugu zangu kuna tatizo kubwa katika hili suala nililowasilisha hapo juu. Shule nyingi kuanzia chekechea hadi kidato cha sita zina matatizo makubwa haswa zile zinazotoa ufaulu wa kiwango cha juu. Wanafunzi wanaamka saa nane na wanalala saa saba usiku ili wakeshe madarasani wakariri. Mwisho wa siku tukienda kwenye majadiliano ya kimikataba tunashindwa kujenga hoja. Mzazi una hela na bado unalipa na mtoto anateseka kwa kuamka saa nane usiku ili shule ipate A zote. Tunawaumiza vijana wetu.
Ushauri mwanana kwa Revolution ! Ukiona vyaelea……. Kuku huchokola sawa na mdomo wake. Ndo maana hujawahi kusaidia kuku kisa kakwamwa kooni.Jambo rahisi saana
Mchukue mwanao mhamishe mpeleke wanapo amka SAA 1 asubuhi. Kwan umelazimishwa kumsomesha hapo??
Kabla ya kuanza shule uliulizia utaratibu wao WA masomo?? Ukaridhika then unataka wabadilike...
Mfumo mbovu sana.Tanzania ndo tayari mfumo uko hivo. Unasomesha Uganda au Kenya?