Uchumikati
Member
- Dec 8, 2020
- 82
- 97
- Thread starter
- #21
Nadhani tatizo lililopo DIT ni la kimfumo zaidi maana vitu vingi vinafanyika kienyeji sana kama vile hamna uongozi. Hata hili la malipo uongozi unajua ndio ushangae ila nadhani wapo bize na mambo yao kwanza maslahi ya chuo wanaweka kandoEti na DIT kinazalisha ma engineer.
Wamepewa mradi wa kuweka mfumo wa kutumia gesi kwenye magari wanakenua tu. Magari tz yako mengi sana Ila wazee wa DIT wameshindwa kabisa kujiongeza.
Fungueni gereji mpaka mikoani.
Tangu awamu ya JK Ni Ubungo Ubungo Ubungo. Kama mmezeheka waachieni vijana ofisi.