Waziri wa Elimu tunaomba utusaidie walimu DIT hatujalipwa tangu Juni

Sasa si mkope? ualimu ni wito
Mkuu hapa tumeshakopa kila kona tunadaiwa unadhani tunaishije miez yote hii bila kulipwa na kila siku unatumia nauli,maji na chakula. Sema ndio riba zinatuumiza maana unakopeshwa mwezi mmoja ukitegemea chuo kitaingiza hela matokeo yake miez 6 inakatika hatulipwi tunaendelea kupigwa riba na penati ya kuchelewesha miezi mitano. Pesa ikiingia huna chako. Inaumiza sana na sometimes unashindwa kuelewa viongozi wa hiki chuo kama zinawatosha sawasawa pamoja na usomi wao
 
Dada joy ataanza na hili
 
Aisee poleni walimu wetu, nasikia kuna fursa mtaani inaitwa Q-net unanunua sijui pete ya kufukuza majini halafu inaanza kutema mamilioni kila mwezi🌚
Hahahaaa yaani siwalaumu wanaolimbilia hizo fursa maana manyanyaso ya wenye mamlaka ni mengi....watu wanakimbilia get rich quick schemes...sasa mtu anaahidiwa dola kadhaa kila wiki na akijiangalia ndio halipwagi mshahara miez 6 kwanini asikimbilie. Ndio maana wahanga wengi ni watumishi
 
Kuna haja hizi wizara zikajiunga jf kama ilivyofanya wizara ya afya ili tuwe tunawatag
 
Sisi walimu wa Chuo cha Serikali cha DIT tunaofanya part time tunaomba utusaidie tulipwe mishahara yetu tunayodai tangu mwezi June na sasa ni December na hatuoni dalili za kulipwa.

Kwakweli ni tatizo la muda mrefu ambalo hakuna anaeonekana kujali sio mkuu wa chuo wala nani maana semester inaisha bila kulipwa hata mia na wanafunzi wanaenda likizo hadi miezi mitatu bado hawaprocess malipo hadi semester nyingine inaanza bado hawalipi na masomo yanatakiwa yafundishwe.

Hapo kuna kutoa elimu bora kweli mtu kila siku unatumia nauli yako miezi 6 usilipwe ni uungwana kweli? Tunakuomba utusaidie mheshimiwa waziri tunateseka na watu tunafamilia na madeni lukuki yenye riba umiza zinazotokana na kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi.

Vyuo vimeshafungua wanafunzi wameshalipa ada lakini bado hatulipwi kama walivyoahidi kwamba hadi wakusanye ada. Hatupendi kuingia mitandaoni kuandika ila tunalazimika kutokana na uzembe wa watu wachache.
Hapa unatengeneza msomi wa taifa,Siyo tuu msomi bali ni mwasayansi waTaifa ukiwa na njaa.

Kama bajeti hakuna kwa nini mnawasumbuwa watu kwa kuwapotezea muda wao?

wakiingia kwenye tamaa ya rushwa ya kuuza mitihani mtawalaumu kweli?
 
Wakiwalipa miezi yote sita sio haba mtaji huo
 
Hapa unatengeneza msomi wa taifa,Siyo tuu msomi bali ni mwasayansi waTaifa ukiwa na njaa.

Kama bajeti hakuna kwa nini mnawasumbuwa watu kwa kuwapotezea muda wao?

wakiingia kwenye tamaa ya rushwa ya kuuza mitihani mtawalaumu kweli?
Mkuu ndio wanataka kutuingiza huko badae waanze kulaumu walimu hawana maadili. Hivi hujanilipa miez 6 nafundisha tu hujui nafikaje chuo,nakulaje...afu wizara ipo tu inawalinda hawa wazembe maana upuuzi huu wanaujua vizuri. Tuanze kuishi kwa kuuza mitihani?
 
Mkuu hapa tumeshakopa kila kona tunadaiwa unadhani tunaishije miez yote hii bila kulipwa na kila siku unatumia nauli,maji na chakula. Sema ndio riba zinatuumiza maana unakopeshwa mwezi mmoja ukitegemea chuo kitaingiza hela matokeo yake miez 6 inakatika hatulipwi tunaendelea kupigwa riba na penati ya kuchelewesha miezi mitano. Pesa ikiingia huna chako. Inaumiza sana na sometimes unashindwa kuelewa viongozi wa hiki chuo kama zinawatosha sawasawa pamoja na usomi wao

Basi tumeni barua rasmi wizarani mkuu.
 
Back
Top Bottom