Uchumikati
Member
- Dec 8, 2020
- 82
- 97
- Thread starter
- #61
Ndio lengo letu kuleta malalamiko yetu humu ili afahamu watendaji wake wasivyo na utu, tumewavumilia mpaka tumechoka.Hivi Waziri wa Elimu anafahamu hilo tatizo?
Ndio lengo letu kuleta malalamiko yetu humu ili afahamu watendaji wake wasivyo na utu, tumewavumilia mpaka tumechoka.Hivi Waziri wa Elimu anafahamu hilo tatizo?
Labda anataka adai yeyeKwahiyo asidai?
Kweli mkuu wengine wanakimbilia kucomment tu bila kusoma vizuriHivi umesoma ulichokiandika? Na umesoma mada ilotolewa ? Maana majibu yako yamo ndani ya mada.
Mambo ya Muhimu hivi nikupeana ushauri si kuweka mizaha mizaha. Na Yaezekana baada ya Post hii ikafanya Shida yao kutatuliwa
Kama uchumi wa kati ndio hivi aisee tutauana, hata mwezi mmoja tusilipwe?Punguza kelele tupo uchumi Wa kati sasa hakuna na hautokuja tokea kwenye awamu ya tano taasisi ya serikali kishindwa kulipa pesa
# NASEMA UONGO NDUGU ZANGUU
Hahahaaaa...pale hakuna ujanja unaweza potezwa ukaacha familiaMbona haki yako ya kulinda kura zisiibiwe ulishindwa kuitetea? Lisu aliibiwa Kura waziwazi na sasa una rais bogus kuwahi kutokea duniani asiyejua kingereza yeye anajua kudefine catalyst tu.
Utawala/ uongozi wa chuo inajitafutia matatizo ama wana benefit na chaos hii. Vyuo na taasis nyingine zilishaambiwa zitangaze transfer vacancies wao wanaendelea na deyi waka kwa maslah ya nani⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️Sisi walimu wa Chuo cha Serikali cha DIT tunaofanya part time tunaomba utusaidie tulipwe mishahara yetu tunayodai tangu mwezi June na sasa ni December na hatuoni dalili za kulipwa.
Kwakweli ni tatizo la muda mrefu ambalo hakuna anaeonekana kujali sio mkuu wa chuo wala nani maana semester inaisha bila kulipwa hata mia na wanafunzi wanaenda likizo hadi miezi mitatu bado hawaprocess malipo hadi semester nyingine inaanza bado hawalipi na masomo yanatakiwa yafundishwe.
Hapo kuna kutoa elimu bora kweli mtu kila siku unatumia nauli yako miezi 6 usilipwe ni uungwana kweli? Tunakuomba utusaidie mheshimiwa waziri tunateseka na watu tunafamilia na madeni lukuki yenye riba umiza zinazotokana na kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi.
Vyuo vimeshafungua wanafunzi wameshalipa ada lakini bado hatulipwi kama walivyoahidi kwamba hadi wakusanye ada. Hatupendi kuingia mitandaoni kuandika ila tunalazimika kutokana na uzembe wa watu wachache.
Ombeni panga lisiwakute kwani yawezekana,ikawa bahati yenu.Sisi walimu wa Chuo cha Serikali cha DIT tunaofanya part time tunaomba utusaidie tulipwe mishahara yetu tunayodai tangu mwezi June na sasa ni December na hatuoni dalili za kulipwa.
Kwakweli ni tatizo la muda mrefu ambalo hakuna anaeonekana kujali sio mkuu wa chuo wala nani maana semester inaisha bila kulipwa hata mia na wanafunzi wanaenda likizo hadi miezi mitatu bado hawaprocess malipo hadi semester nyingine inaanza bado hawalipi na masomo yanatakiwa yafundishwe.
Hapo kuna kutoa elimu bora kweli mtu kila siku unatumia nauli yako miezi 6 usilipwe ni uungwana kweli? Tunakuomba utusaidie mheshimiwa waziri tunateseka na watu tunafamilia na madeni lukuki yenye riba umiza zinazotokana na kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi.
Vyuo vimeshafungua wanafunzi wameshalipa ada lakini bado hatulipwi kama walivyoahidi kwamba hadi wakusanye ada. Hatupendi kuingia mitandaoni kuandika ila tunalazimika kutokana na uzembe wa watu wachache.
Panga lipi mkuu fafanuaOmbeni panga lisiwakute kwani yawezekana,ikawa bahati yenu.
Wakumbushe basi watulipe hali sio nzuri tangu june tunataabikaHii serikali ya meko inahela mpka hawajui wazifanyie nini,halafu wewe unasema hamjalipwa
Nahisi kama uongozi wa hiki chuo wanajisahau sana licha ya kuwepo city center ni kama hawajaliUtawala/ uongozi wa chuo inajitafutia matatizo ama wana benefit na chaos hii. Vyuo na taasis nyingine zilishaambiwa zitangaze transfer vacancies wao wanaendelea na deyi waka kwa maslah ya nani⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️
Inawezekana ni ka mchongo: ndo eneo la kupigaNahisi kama uongozi wa hiki chuo wanajisahau sana licha ya kuwepo city center ni kama hawajali
Mkuu hapa umenifungua macho maana hata rate tunayolipwa ilipunguzwa sasahivi tunalipwa elfu 10 kwa saa tofauti kabisa na vyuo vingine...na kulipwa kwenyew ndo kama hivi miez 6 bilabila. Kuna mchezo huendaInawezekana ni ka mchongo: ndo eneo la kupiga
Kwa hiyo tusubiri UTEKELEZAJI . But when miaka inazidi kwenda.....Dokta NYARI yupo anakusikia
Yaani hatari sana aiseeKwa hiyo tusubiri UTEKELEZAJI . But when miaka inazidi kwenda.....
Nyuma ya kibodi watu ni majasiri .Mungu alinipa moyo wa ajabu sana, na ninavyo ona mimi watu wengi wanakosa haki zao za msingi kwasababu ya hofu na mashaka, na pia kutokujiamini
Mimi sijawai kuhofia kudai haki yangu popote hata kwa yeyote. Kumbuka hiyo ni haki yenu na mnatakiwa kumuandikia barua mkuu wa chuo na copy kwa mtu wa juu yake (yaani msiruke ngazi)
Tena mnapaswa kujieleza kwa ufasaha pamoja na kuahinisha Jambo lenu, na hakikisheni mnaandika majina yenu/lako ili usionekane kama mnaweka majungu tena kwa kujificha.
Soon uzalendo utatushinda mtasikia tu kwenye newsNyuma ya kibodi watu ni majasiri .