Waziri wa Elimu tunaomba utusaidie walimu DIT hatujalipwa tangu Juni

Nilichogundua, nyie sio muhimu hapo chuoni. Na inawezekana kabisa mnajitolea ila mkaambiwa ntakua mnalipwa kulingana na pesa kama itakuwepo
Mtafute kazi ya permanent hapo au kwingine na sio kujitolea.
 
Wale parttimers waliopo idara ya civil na unoko wote ule venue kumbe hawalipwi,
Ila dit hakuna uongozi toka aondoke Prof kondoro

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hi
Wale parttimers waliopo idara ya civil na unoko wote ule venue kumbe hawalipwi,
Ila dit hakuna uongozi toka aondoke Prof kondoro

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hahahaaa si unajua watu wanapiga kazi kwa moyo ila hakuna anaejali wanatuona malofa sasa ipo siku yao tunamwaga mboga na ugali wake
 
Poleni sana...
Serikali iliyoshinda kwa kishindo ya awamu ya tano itashughulikia tatizo lenu...




Cc: mahondaw
 
Safi sana. Mitano tenaaaaa.
 
Alafu tunasema uchumi wa viwanda daah
 
Hivi Waziri wa Elimu anafahamu hilo tatizo?
 
Nilichogundua, nyie sio muhimu hapo chuoni. Na inawezekana kabisa mnajitolea ila mkaambiwa ntakua mnalipwa kulingana na pesa kama itakuwepo
Mtafute kazi ya permanent hapo au kwingine na sio kujitolea.
Kiukweli hawa jamaa hawatuthamini kama sisi tunavyothamini kazi hii na kuna dalili kuonesha sisi tunajipendekeza tu kujituma na kufanya kazi kwa bidii. Hata siku ukiambiwa file lipo uhasibu ukienda kufuatilia majibu unayopewa aisee unahisi kizunguzungu...mpaka mwenyewe unajidharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…