Waziri wa Elimu tunaomba utusaidie walimu DIT hatujalipwa tangu Juni

Hivi umesoma ulichokiandika? Na umesoma mada ilotolewa ? Maana majibu yako yamo ndani ya mada.

Mambo ya Muhimu hivi nikupeana ushauri si kuweka mizaha mizaha. Na Yaezekana baada ya Post hii ikafanya Shida yao kutatuliwa
Kweli mkuu wengine wanakimbilia kucomment tu bila kusoma vizuri
 
Punguza kelele tupo uchumi Wa kati sasa hakuna na hautokuja tokea kwenye awamu ya tano taasisi ya serikali kishindwa kulipa pesa

# NASEMA UONGO NDUGU ZANGUU
Kama uchumi wa kati ndio hivi aisee tutauana, hata mwezi mmoja tusilipwe?
 
Mbona haki yako ya kulinda kura zisiibiwe ulishindwa kuitetea? Lisu aliibiwa Kura waziwazi na sasa una rais bogus kuwahi kutokea duniani asiyejua kingereza yeye anajua kudefine catalyst tu.
Hahahaaaa...pale hakuna ujanja unaweza potezwa ukaacha familia
 
Mh. Ndalichako tafadhali tunakuomba ufanyie kazi kilio chetu tupate ufumbuzi maana imekua ni tabia ya chuo kutufanyisha kazi miezi mingi bila malipo na hakuna hata siku moja wametuomba radhi kwa ucheleweahaji huu. Ni nusu mwaka sasa hatujalipwa na watu tunafamilia
 
Utawala/ uongozi wa chuo inajitafutia matatizo ama wana benefit na chaos hii. Vyuo na taasis nyingine zilishaambiwa zitangaze transfer vacancies wao wanaendelea na deyi waka kwa maslah ya nani⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️
 
Ombeni panga lisiwakute kwani yawezekana,ikawa bahati yenu.
 
Nahisi kama uongozi wa hiki chuo wanajisahau sana licha ya kuwepo city center ni kama hawajali
 
Inawezekana ni ka mchongo: ndo eneo la kupiga
Mkuu hapa umenifungua macho maana hata rate tunayolipwa ilipunguzwa sasahivi tunalipwa elfu 10 kwa saa tofauti kabisa na vyuo vingine...na kulipwa kwenyew ndo kama hivi miez 6 bilabila. Kuna mchezo huenda
 
Nyuma ya kibodi watu ni majasiri .
 
Aisee poleni walimu wetu, nasikia kuna fursa mtaani inaitwa Q-net unanunua sijui pete ya kufukuza majini halafu inaanza kutema mamilioni kila mwezi🌚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…