Uchumikati
Member
- Dec 8, 2020
- 82
- 97
- Thread starter
-
- #81
Mkuu hapa tumeshakopa kila kona tunadaiwa unadhani tunaishije miez yote hii bila kulipwa na kila siku unatumia nauli,maji na chakula. Sema ndio riba zinatuumiza maana unakopeshwa mwezi mmoja ukitegemea chuo kitaingiza hela matokeo yake miez 6 inakatika hatulipwi tunaendelea kupigwa riba na penati ya kuchelewesha miezi mitano. Pesa ikiingia huna chako. Inaumiza sana na sometimes unashindwa kuelewa viongozi wa hiki chuo kama zinawatosha sawasawa pamoja na usomi waoSasa si mkope? ualimu ni wito
Dada joy ataanza na hiliMkuu hapa tumeshakopa kila kona tunadaiwa unadhani tunaishije miez yote hii bila kulipwa na kila siku unatumia nauli,maji na chakula. Sema ndio riba zinatuumiza maana unakopeshwa mwezi mmoja ukitegemea chuo kitaingiza hela matokeo yake miez 6 inakatika hatulipwi tunaendelea kupigwa riba na penati ya kuchelewesha miezi mitano. Pesa ikiingia huna chako. Inaumiza sana na sometimes unashindwa kuelewa viongozi wa hiki chuo kama zinawatosha sawasawa pamoja na usomi wao
Sina hakika kama dada joy anapita humu maana hata kumtag imeshindikana...labda wadau wamfikishieDada joy ataanza na hili
Hahahaaa yaani siwalaumu wanaolimbilia hizo fursa maana manyanyaso ya wenye mamlaka ni mengi....watu wanakimbilia get rich quick schemes...sasa mtu anaahidiwa dola kadhaa kila wiki na akijiangalia ndio halipwagi mshahara miez 6 kwanini asikimbilie. Ndio maana wahanga wengi ni watumishiAisee poleni walimu wetu, nasikia kuna fursa mtaani inaitwa Q-net unanunua sijui pete ya kufukuza majini halafu inaanza kutema mamilioni kila mwezi🌚
Hapa unatengeneza msomi wa taifa,Siyo tuu msomi bali ni mwasayansi waTaifa ukiwa na njaa.Sisi walimu wa Chuo cha Serikali cha DIT tunaofanya part time tunaomba utusaidie tulipwe mishahara yetu tunayodai tangu mwezi June na sasa ni December na hatuoni dalili za kulipwa.
Kwakweli ni tatizo la muda mrefu ambalo hakuna anaeonekana kujali sio mkuu wa chuo wala nani maana semester inaisha bila kulipwa hata mia na wanafunzi wanaenda likizo hadi miezi mitatu bado hawaprocess malipo hadi semester nyingine inaanza bado hawalipi na masomo yanatakiwa yafundishwe.
Hapo kuna kutoa elimu bora kweli mtu kila siku unatumia nauli yako miezi 6 usilipwe ni uungwana kweli? Tunakuomba utusaidie mheshimiwa waziri tunateseka na watu tunafamilia na madeni lukuki yenye riba umiza zinazotokana na kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi.
Vyuo vimeshafungua wanafunzi wameshalipa ada lakini bado hatulipwi kama walivyoahidi kwamba hadi wakusanye ada. Hatupendi kuingia mitandaoni kuandika ila tunalazimika kutokana na uzembe wa watu wachache.
Wakiwalipa miezi yote sita sio haba mtaji huoSisi walimu wa Chuo cha Serikali cha DIT tunaofanya part time tunaomba utusaidie tulipwe mishahara yetu tunayodai tangu mwezi June na sasa ni December na hatuoni dalili za kulipwa.
Kwakweli ni tatizo la muda mrefu ambalo hakuna anaeonekana kujali sio mkuu wa chuo wala nani maana semester inaisha bila kulipwa hata mia na wanafunzi wanaenda likizo hadi miezi mitatu bado hawaprocess malipo hadi semester nyingine inaanza bado hawalipi na masomo yanatakiwa yafundishwe.
Hapo kuna kutoa elimu bora kweli mtu kila siku unatumia nauli yako miezi 6 usilipwe ni uungwana kweli? Tunakuomba utusaidie mheshimiwa waziri tunateseka na watu tunafamilia na madeni lukuki yenye riba umiza zinazotokana na kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi.
Vyuo vimeshafungua wanafunzi wameshalipa ada lakini bado hatulipwi kama walivyoahidi kwamba hadi wakusanye ada. Hatupendi kuingia mitandaoni kuandika ila tunalazimika kutokana na uzembe wa watu wachache.
Hamna kitu mzee wametusababisha tumeingia kwenye madeni yenye riba umiza maana tutaishi vipi na tunafamiliaWakiwalipa miezi yote sita sio haba mtaji huo
Na ndio PhD holders hao ambao wanategemea teuzi za kula nchi,really sadAiseeeh!!!
Mkuu ndio wanataka kutuingiza huko badae waanze kulaumu walimu hawana maadili. Hivi hujanilipa miez 6 nafundisha tu hujui nafikaje chuo,nakulaje...afu wizara ipo tu inawalinda hawa wazembe maana upuuzi huu wanaujua vizuri. Tuanze kuishi kwa kuuza mitihani?Hapa unatengeneza msomi wa taifa,Siyo tuu msomi bali ni mwasayansi waTaifa ukiwa na njaa.
Kama bajeti hakuna kwa nini mnawasumbuwa watu kwa kuwapotezea muda wao?
wakiingia kwenye tamaa ya rushwa ya kuuza mitihani mtawalaumu kweli?
Mkuu hapa tumeshakopa kila kona tunadaiwa unadhani tunaishije miez yote hii bila kulipwa na kila siku unatumia nauli,maji na chakula. Sema ndio riba zinatuumiza maana unakopeshwa mwezi mmoja ukitegemea chuo kitaingiza hela matokeo yake miez 6 inakatika hatulipwi tunaendelea kupigwa riba na penati ya kuchelewesha miezi mitano. Pesa ikiingia huna chako. Inaumiza sana na sometimes unashindwa kuelewa viongozi wa hiki chuo kama zinawatosha sawasawa pamoja na usomi wao
Asante kwa ushauri mkuu ngoja tulifanyie kaziBasi tumeni barua rasmi wizarani mkuu.