Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marehem wilium Mgimwa ni daktari (PhD), amefanya kazi kama mbunge kisha waziri wa fadha, Ni Mnyalukolo mwili wake utasafirishwa na serikali kurudi home (unyaluni???). KUMBUKUMBU: Marehemu Balali pia ni daktari (PhD), alifanya kazi umoja wa mataifa kisha wizara ya fedha kama gavana, ni mnyalukolo, mwili wake haukurudi. hii serikali ina double standard eee!!!!:drama:
poleni wafiwa ila taadhari hatutaki maziahi kama ya balali tuna ardhi ya kutosha rudisheni mwili nyumbani RIP MGIMWA
Si hilo tu, mi nasikitikia jimbo lake maana litaenda Chadema. Sasa kwa nini asingesubiri hadi baada ya uchaguzi wa 2015?
Fumbo la kifo ni gumu sana. Pamoja na wimbo Remy aliimbia kifo bado alichukuliwa. Poleni familia palen watz wenzangu. Pole Africa Waziri wa fedha wizara iliyotulia kwa sasa.
Marehem wilium Mgimwa ni daktari (PhD), amefanya kazi kama mbunge kisha waziri wa fadha, Ni Mnyalukolo mwili wake utasafirishwa na serikali kurudi home (unyaluni???). KUMBUKUMBU: Marehemu Balali pia ni daktari (PhD), alifanya kazi umoja wa mataifa kisha wizara ya fedha kama gavana, ni mnyalukolo, mwili wake haukurudi. hii serikali ina double standard eee!!!!:drama:
Candle in the wind! Rest in Peace Dr. William Mgimwa.Nimepokea taarifa ya kusikitisha.
Mzee wetu na mjomba wangu, Dr. William Mgimwa amefariki dunia asubuhi hii
Kila roho itaonja mauti,get prepared!Acha yafeee ma Ccm hayo
Kila roho itaonja mauti,get prepared!
You are not God,nayakemea hayo maneno yako,na ushindwe na ulegeeYou are the next kafie mbali magamba....... wee eeeeeeee
You are not God,nayakemea hayo maneno yako,na ushindwe na ulegee
You are not God,nayakemea hayo maneno yako,na ushindwe na ulegee