Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba uko very Knowledgeable, ila you're very Poor in Communicating, lifanyie kazi tafadhali

Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba uko very Knowledgeable, ila you're very Poor in Communicating, lifanyie kazi tafadhali

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kama kuna Kitu ambacho bila Unafiki au Sanifu au Kukudanganya nakipenda Kwako ni Uwezo wako mkubwa wa Maarifa uliyonayo hasa juu ya Fani yako na Exposure ya Wastani.

Ila Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kama kuna tatizo Kubwa ulilonalo ni la Uwasilishaji wa Jambo katika Public ( Communication Skills ) na ukaeleweka vyema.

Natamani sana kujua / kusikia kutoka kwa Schoolmates wako waseme kama na tatizo lako la Asili au Unazuga au una Aibu fulani hivi.

Hata hivyo kinachonishangaza ukiwa unaizungumzia Yanga SC yako au uko katika Mikutano ya Yanga SC huwa unaongea vizuri tena katika Confidence ya ajabu mpaka nahisi labda huwa unazimuaga kidogo na Kichwa Kinachangamka.
 
Yuko vizuri bwana labda kwa maeneo machache tu, leo speech yake nimeipenda imegusa watu wa chini kabsa hasa huko kwenye halmashauri ambako kuna unyanyasaji wa kulipa madeni mpaka upige magoti ndipo unalipwa.
 
Back
Top Bottom