Waziri wa Fedha wa Uingereza Bwana Kwasi Kwarteng amepigwa chini rasmi baada ya kuitumikia nafasi ya uwaziri kwa siku 38 tu

Waziri wa Fedha wa Uingereza Bwana Kwasi Kwarteng amepigwa chini rasmi baada ya kuitumikia nafasi ya uwaziri kwa siku 38 tu

Namshmga San mtu akinimbi eti Samia asubiri 2025 watamtoza Nani kina Nani hkn wakuiangusha ccm madaraka hat viungane vyama vyote ccm anapita ktkt yao huyooo
Rais Samia kila sehemu anapingwa tena anapigwa mno ila yeye yupo busy na safari na bahati mbaya sana anaonana na wale ambao wanalisha maneno wanayotaka wao ayasikie. Yaani wana mkeep busy kiasi kwamba hata ile kauli ya Dkt Mwigulu ya kuwaambia watanzania wahamie Burundi hajawahi kuisikia.
 
Back
Top Bottom