Waziri wa Fedha wa Uingereza, Kwasi Kwarteng ajiuzulu

Women destroy nations, huyo Mwanamke Trus ameingia ku destroy English people ana chuki sana.

Women destroy nations!
Wacha ujinga wewe Kijakazi (a feminine name!). Uingereza iliwahi kuongozwa na Margareth Thatcher na Theresa May na waliongoza vizuri sana, hasa Thatcher ambaye aliongoza katika kipindi kigumu kabisa cha mtetemeko wa uchumi.

Angela Merkel ameongoza mpaka akachoka mwenyewe tu na kuamua kuachia ngazi, sijui wewe unaishi katika taifa gani.
 
Itakuwa Burundi bila shaka🏃🏃
 
Hapa kwa wale wafanyabiashara ama traders Ni ku sell GU hakuna namna. Na ndio Mana Leo paundi imekuwa weak balaa. Ni mwendo wa ku kamua soko maziwa yajae ndoo. But nb greed is the enemy and is the dangerous than fear
 
Wacha ujinga wewe Kijakazi (a feminine name!). Uingereza iliwahi kuongozwa na Margareth Thatcher na Theresa May na waliongoza vizuri sana, hasa Thatcher ambaye aliongoza katika kipindi kigumu kabisa cha mtetemeko wa uchumi.

Angela Merkel ameongoza mpaka akachoka mwenyewe tu na kuamua kuachia ngazi, sijui wewe unaishi katika taifa gani.

Angela Merkel destroyed Germany, Thather ndiye aliyeanza kuibomoa Uingereza leo hii Uingereza inafanana sehemu nyingi na developing countries, kazi ya Thatcher.

Women Destroy Nations!
 
Kwa sababu jamaa ni mweusi tu hapo hakuna kingine.

Waafrica bwana everything ni zwengwe.. hali iliyopo uingereza kwa sasa ni tatizo kwa uchumi wao.
Alichofanya kwateng ni ku step down, si kwa ubaguzi, ila ni collective responsibility.
 
Hata hapa hamna sehemu yeyote wanaitaja Urusi ila ukweli Vita wanayoifadhili Kijinga jinga kule Ukraine itawaumiza sana....Na bado serikali Nyingi zitaanguka ..Na Msimu wa Baridi kuna janga kubwa zaidi.... Dunia Nzima Inatafuta amani Ila hawa Wanaojiita G7 wanaua watu kwa kumtumia mtu mjing Kule Kyiv anaongea kama debe tupu eti apewe silaha nchi yake imegeuka kuwa Uwanja wa vita...Na hawa wanaomfadhili serikali zao zitaanguka zote....
Kuna wakati huwa tunaongea mambo mengi sana ya hovyo, badala ya kuishtumu Urusi aliyeanzisha vita unamlaumu aliyevamiwa.
 
Breaking News: Waziri wa fedha wa Uingereza Kwasi Kwarteng amejiuzulu.

Serikali ya Uingereza chini ya waziri mkuu Liz Truss na waziri wake wa fedha bwana Kwasi Kwateng ipo matatani kwa kushindwa kusimamia uzuri suala la uchumi.

Taarifa mbalimbali zasema serikali hiyo imezidisha kiwango cha ukopaji kutoka benki kuu kupitia amana za serikali lakini kiwango cha riba kimepanda na kutishia uhai wa fedha za wawekezaji na zile za mifuko ya hifadhi.

Serikali nyingi duniani hukopa fedha kupitia amana na huziuza kwenye mifuko binafsi au (hedge funds) na mifuko ya hifadhi(pension funds).

Waziri wa fedha bwana Kwasi Kwarteng ambae amekuwa akihudhuria mkutano wa IMF wa kila mwaka mjini Washington DC, ameitwa nyumbani mara moja na yupo njiani kuelekea London kwa mazungumzo zaidi na waziri mkuu Liz Truss.

Kwa mujibu wa gazeti ta "The Times" la Uingereza, baadhi ya wabunge waandamizi wa chama cha wahafidhina usiku wa jana walifanya kikao cha kuwabadilisha Liz Trus na Kwasi Kwarteng endapo hali ya uchumi itaendela kuzorota ambapo gharama za maisha nchini humo zimepanda zikiwemo gharama za mafuta na gesi kiasi cha kutishia kuwepo na ghasia kipindi cha baridi kitapoanza kushika kasi mwishoni mwa mwezi huu.

Katikati ya mwezi September mara tu baada ya kuingia madarakani serikali ilipeleka bungeni mapendekezo ya bajeti ndogo yalojumuisha pia kuwepo na kupunguza kodi yenye thamani ya pauni 45 bilioni ambayo ingefidiwa na serikali kukopa jambo lilopelekea kuleta mstuko kwenye soko la fedha na benki kuu kuingilia kati kuokoa fedha za mafao.

Mgogoro wa uchumi wa Uingereza umekuwa ukiisumbua serikali ya nchi hiyo kutokana na kushindwa kupitisha mapendekezo ya bajeti ndogo au "mini budget" ambapo serikali ilitaka kupunguza kiwango cha ulipaji kodi kwa matajiri na kuwaacha walipa kodi wa kawaida kulipa kiwango kilekile.

IMF pia ilitoa kauli ya kupinga bajeti hiyo ambayo iliita ni kutishia uchumi himilivu wa dunia jamblo ambalo lilipingwa vikali na viongozi wa nchi hiyo.

Pia uchumi nchi ya Uingereza imekuwa ukielekea kuanguka yaani "recession" ambapo uwezo wa nchi kuzalisha mali (GDP) ukiwa washuka kwa miezi mitatu mfululizo hali hiyo huchukuliwa kuwa ni kuanguka kwa uchumi au uchumi kufanya vibaya.

Mwanguko wa kiuchumi kwa nchi si jambo jema kwani ukuaji wake kusababisha kuongezeka kwa kiwango cha ajira, makampuni kupata faida kwa wingi na pia wawezekaji kufaidika. Pia hali ya uchumi ikiwa nzuri wananchi hulipa kodi na serikali kufaidika na kodi hizo ambapo huzitumia kulipia uendeshaji wake na shughuli za maendeleo.

Lakini kuna wakati serikali pia ukiona uchumi wanona huamua kupunguza kiwango cha ulipaji kodi na hapo ndipo serikali ya Liz Truss ilipoamua kufanya hivyo lakini kwa wale matajiri pekee jambo lilopelekea wananchi kulalamika kwa anawapendelea watu hao ambao wengi ndo wenye biashara.

Vyombo vingi vya habari nchini humo asubuhi hii vimeripoti kurejea ghafla London kwa bwana Kwarteng na ujumbe wake akiwemo gavana wa benki kuu ya Uingereza Andrew Bailey na kuacha mkutano huo vyombo vya fedha za nchi saba tajiri duniani au G7 ukiendelea jijini Washington DC.

Bwana Kwarteng jioni hii anatarajiwa kufanya mazungumzo ya dharura na waziri mkuu Liz Truss kutafuta namna ya kuokoa nafasi zao na kurekebisha sera yao ya uchumi ya upunguzaji viwango vya ulipaji kodi.

sky News
Kwasi Kwarteng has been sacked as chancellor three weeks after his mini-budget unleashed chaos in the economy, Sky News understands.

He was appointed to the role by Liz Truss only 38 days ago.

Mr Kwarteng's downfall was set in motion by the mini-budget on 23 September, in which he announced £45bn in unfunded tax cuts.

The mini-budget pushed the pound to a record low against the dollar, sent the cost of government borrowing and mortgage rates up and led to an intervention by the Bank of England.

Ms Truss and Mr Kwarteng, who have been close friends for years, insisted that the turbulence in the UK economy was part of a global problem exacerbated by the war in Ukraine and post-pandemic recovery.

But last week, after open revolt by Tory MPs and a record surge for Labour in the polls, the prime minister announced the first major reversal of mini-budget policies when she backtracked on scrapping the 45p top rate of income tax.

The second U-turn is expected to come on Friday afternoon, with the government set to raise corporation tax from 19% to 25% next April, despite promising not to do so in the mini-budget.

Vyanzo: Sky news ,The times
Wapi MK254 njoo kwa huku,ipo maneno yako,rafiki zako wanapukutishwa kama majani
 
Hapa Home Waziri Wetu Kimya Hataki Kutema Bungo Kama Wa Uingereza
Siyo hapa hata huko Russia ingekuwa serikali yao ina angalau udemokrasia kidogo aisee viongozi wengi wangeshatema bungo ila ndo hivyo mkono wa chuma umeshika hatamu.
 
Putin alishasema kuwa maisha mazuri waliyonayo wananchi wa Russia ni kutokana na cheap energy wanayoipata kutoka Russia leo hii kila mtu ni shaidi vilio kila kona uko ulaya ..
 
Breaking News: Waziri wa fedha wa Uingereza Kwasi Kwarteng amejiuzulu.

Serikali ya Uingereza chini ya waziri mkuu Liz Truss na waziri wake wa fedha bwana Kwasi Kwateng ipo matatani kwa kushindwa kusimamia uzuri suala la uchumi.

Taarifa mbalimbali zasema serikali hiyo imezidisha kiwango cha ukopaji kutoka benki kuu kupitia amana za serikali lakini kiwango cha riba kimepanda na kutishia uhai wa fedha za wawekezaji na zile za mifuko ya hifadhi.

Serikali nyingi duniani hukopa fedha kupitia amana na huziuza kwenye mifuko binafsi au (hedge funds) na mifuko ya hifadhi(pension funds).

Waziri wa fedha bwana Kwasi Kwarteng ambae amekuwa akihudhuria mkutano wa IMF wa kila mwaka mjini Washington DC, ameitwa nyumbani mara moja na yupo njiani kuelekea London kwa mazungumzo zaidi na waziri mkuu Liz Truss.

Kwa mujibu wa gazeti ta "The Times" la Uingereza, baadhi ya wabunge waandamizi wa chama cha wahafidhina usiku wa jana walifanya kikao cha kuwabadilisha Liz Trus na Kwasi Kwarteng endapo hali ya uchumi itaendela kuzorota ambapo gharama za maisha nchini humo zimepanda zikiwemo gharama za mafuta na gesi kiasi cha kutishia kuwepo na ghasia kipindi cha baridi kitapoanza kushika kasi mwishoni mwa mwezi huu.

Katikati ya mwezi September mara tu baada ya kuingia madarakani serikali ilipeleka bungeni mapendekezo ya bajeti ndogo yalojumuisha pia kuwepo na kupunguza kodi yenye thamani ya pauni 45 bilioni ambayo ingefidiwa na serikali kukopa jambo lilopelekea kuleta mstuko kwenye soko la fedha na benki kuu kuingilia kati kuokoa fedha za mafao.

Mgogoro wa uchumi wa Uingereza umekuwa ukiisumbua serikali ya nchi hiyo kutokana na kushindwa kupitisha mapendekezo ya bajeti ndogo au "mini budget" ambapo serikali ilitaka kupunguza kiwango cha ulipaji kodi kwa matajiri na kuwaacha walipa kodi wa kawaida kulipa kiwango kilekile.

IMF pia ilitoa kauli ya kupinga bajeti hiyo ambayo iliita ni kutishia uchumi himilivu wa dunia jamblo ambalo lilipingwa vikali na viongozi wa nchi hiyo.

Pia uchumi nchi ya Uingereza imekuwa ukielekea kuanguka yaani "recession" ambapo uwezo wa nchi kuzalisha mali (GDP) ukiwa washuka kwa miezi mitatu mfululizo hali hiyo huchukuliwa kuwa ni kuanguka kwa uchumi au uchumi kufanya vibaya.

Mwanguko wa kiuchumi kwa nchi si jambo jema kwani ukuaji wake kusababisha kuongezeka kwa kiwango cha ajira, makampuni kupata faida kwa wingi na pia wawezekaji kufaidika. Pia hali ya uchumi ikiwa nzuri wananchi hulipa kodi na serikali kufaidika na kodi hizo ambapo huzitumia kulipia uendeshaji wake na shughuli za maendeleo.

Lakini kuna wakati serikali pia ukiona uchumi wanona huamua kupunguza kiwango cha ulipaji kodi na hapo ndipo serikali ya Liz Truss ilipoamua kufanya hivyo lakini kwa wale matajiri pekee jambo lilopelekea wananchi kulalamika kwa anawapendelea watu hao ambao wengi ndo wenye biashara.

Vyombo vingi vya habari nchini humo asubuhi hii vimeripoti kurejea ghafla London kwa bwana Kwarteng na ujumbe wake akiwemo gavana wa benki kuu ya Uingereza Andrew Bailey na kuacha mkutano huo vyombo vya fedha za nchi saba tajiri duniani au G7 ukiendelea jijini Washington DC.

Bwana Kwarteng jioni hii anatarajiwa kufanya mazungumzo ya dharura na waziri mkuu Liz Truss kutafuta namna ya kuokoa nafasi zao na kurekebisha sera yao ya uchumi ya upunguzaji viwango vya ulipaji kodi.

sky News
Kwasi Kwarteng has been sacked as chancellor three weeks after his mini-budget unleashed chaos in the economy, Sky News understands.

He was appointed to the role by Liz Truss only 38 days ago.

Mr Kwarteng's downfall was set in motion by the mini-budget on 23 September, in which he announced £45bn in unfunded tax cuts.

The mini-budget pushed the pound to a record low against the dollar, sent the cost of government borrowing and mortgage rates up and led to an intervention by the Bank of England.

Ms Truss and Mr Kwarteng, who have been close friends for years, insisted that the turbulence in the UK economy was part of a global problem exacerbated by the war in Ukraine and post-pandemic recovery.

But last week, after open revolt by Tory MPs and a record surge for Labour in the polls, the prime minister announced the first major reversal of mini-budget policies when she backtracked on scrapping the 45p top rate of income tax.

The second U-turn is expected to come on Friday afternoon, with the government set to raise corporation tax from 19% to 25% next April, despite promising not to do so in the mini-budget.

Vyanzo: Sky news ,The times
Kwarteng alienda haraka Sana kwa ile mipango yake afu ilikuwa ime base kwenye Imani zaidi kuliko uhalisia..

Ukiwa ngozi nyeusi unatakiwa kuwa smart pasi na shaka vinginevyo tatizo lolote utashupaliwa hadi ukome..
 
Back
Top Bottom