Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliokuwa wanaona Lissu kuuawa ni Sawa tu, leo wanawafundisha wenzao kuwa na utu!?I cement that kabisaaaa maana watu wamekalia umbea tuuu , oo flani anaumwa ooh flani kafa , turudi kwenye misingi yetu ya zamani ya utu ifike mahali usifurahie mwenzio akipata matatizo hata kama ni kweli. Enzi za mwalimu haikuwa hivi tubadilike
Kama wanataka kuepusha habari za uvumi, basi wawe wanatoa taarifa sahihi kwa wakati. Tumezoea kila jumapili tunaambiwa rais kasali kigango fulani, na tumezoea kila siku rais yuko font fend ya magazeti, lakini hii ni wiki ya pili hatujui rais yuko wapi sasa kwanini kusiwe na rumours?Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa vyombo vya habari kuendelea kutoa taarifa zinazotolewa kwenye vyanzo rasmi na kuepuka kutumia uvumi/rumours...
Ukweli ni upi?Chama fulani ni kiwanda cha uongo by jk!
Kusema Nairobi pia huenda kukapigwa marufuku
Hawa watu wanafikiri tuko kwenye zama za miaka ya 80Sirikali inatumia nguvu kubwa mno kushindana na mitandao ya kijamii. Sirikali isiyopenda ukweli inatapatapa kila kukicha.
Mtenda hutendwa...I cement that kabisaaaa maana watu wamekalia umbea tuuu , oo flani anaumwa ooh flani kafa, turudi kwenye misingi yetu ya zamani ya utu ifike mahali usifurahie mwenzio akipata matatizo hata kama ni kweli. Enzi za mwalimu haikuwa hivi tubadilike.
Ni habari gani hiyo imetolewa kwa mtindo wa uvumi?Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa vyombo vya habari kuendelea kutoa taarifa zinazotolewa kwenye vyanzo rasmi na kuepuka kutumia uvumi/rumours, kwani kitendo hicho ni kukiuka sheria na kitapelekea vyombo hivyo kuwajibika. Waziri Innocent amesema hayo kupitia ukurusa wake wa mtandao wa kijamii wa twitter.
"Natoa wito kwa wanahabari na wananchi wetu kuendelea na utaratibu wa kupata taarifa kupitia vyanzo rasmi vya habari. Kutumia rumours/uvumi kama habari rasmi ni kukiuka sheria zinazosimamia sekta ya habari. Epukeni kusambaza habari ambazo mtawajibika nazo."
...na habari za bwana yule ni kama Ushuzi, haufichiki kamwe !Huko Twitter hali ni mbaya...upepo unavuma balaa
Utu huzaa utu. Na kinyume chake ni kweli pia.I cement that kabisaaaa maana watu wamekalia umbea tuuu , oo flani anaumwa ooh flani kafa , turudi kwenye misingi yetu ya zamani ya utu ifike mahali usifurahie mwenzio akipata matatizo hata kama ni kweli. Enzi za mwalimu haikuwa hivi tubadilike
Huko Twitter hali ni mbaya...upepo unavuma balaa