Waziri wa Israel awaita wananchi wa Israel kuanzisha makazi Gaza ya kaskazini

Waziri wa Fedha Bwana Gezalel Smotrich, amewaomba raia wa Israel wakaanzishe makazi kasakzini mwa Gaza. Waziri huyo amedai ya kwamba waisrael kuhamia na kujenga makazi Gaza kutapelekea Usalama ndani ya Israel.
Kabla ya vita Netanyahu alisema jambo pekee linalomuumiza mwarabu ni kumnyang'anya ardhi.
 
Hii ni changamoto kubwa sana hakuna kitu kibaya kama kukosa pa kuishi na pakulala tuendelee kuombea aman

Waarabu nao wajifunze kuishi na wengine vyema, wameambukiza kabisa mpaka weus wenzetu ambao ni waislam wameshindwa kabisa kuishi na wengine ambao si waiman yao
Kutwa kuwavizia ili kutoa roho zao na kuwaita majina mabaya kafiri
 
Waziri wa Fedha Bwana Gezalel Smotrich, amewaomba raia wa Israel wakaanzishe makazi kasakzini mwa Gaza. Waziri huyo amedai ya kwamba waisrael kuhamia na kujenga makazi Gaza kutapelekea Usalama ndani ya Israel.
Wakaanzishe na makazi Iran hiyo itakua salama zaidi kwao
 
Iyo Siasa kuwa wameshinda gaza uku vilio vikisikika vijana wao wanakufa uku tena waziri anaomba raia ikiwa wajeda wanaisha eneo ilo.,, nadhan waIsrael waliopoteza ndugu zao uko gaza wanaitaj kauli kama izo ili wajifalij,,
 
Waziri wa Fedha Bwana Gezalel Smotrich, amewaomba raia wa Israel wakaanzishe makazi kasakzini mwa Gaza. Waziri huyo amedai ya kwamba waisrael kuhamia na kujenga makazi Gaza kutapelekea Usalama ndani ya Israel.
Niliwahi kusema kuwza kujua kilicho nyuma ya hii vita kwa jicho la kawada ni ngumu sana, tumwombe Mungu hii vita iishe maana maangamizo ni mengi sana ambayo yanaacha makovu makubwa sana.
 
Waziri wa Fedha Bwana Gezalel Smotrich, amewaomba raia wa Israel wakaanzishe makazi kasakzini mwa Gaza. Waziri huyo amedai ya kwamba waisrael kuhamia na kujenga makazi Gaza kutapelekea Usalama ndani ya Israel.
chanzo tafadhali, acha kelele wewe myahudi wa gongolamboto
 
Back
Top Bottom