Waziri wa Israel awaita wananchi wa Israel kuanzisha makazi Gaza ya kaskazini

Waziri wa Fedha Bwana Gezalel Smotrich, amewaomba raia wa Israel wakaanzishe makazi kasakzini mwa Gaza. Waziri huyo amedai ya kwamba waisrael kuhamia na kujenga makazi Gaza kutapelekea Usalama ndani ya Israel.
Kama hii taarifa ni kweli, wapalestina wakiondoka kama wakimbizi hii ndo bye bye maana "law of return" ndo inaenda kuwahukumu.
 
Waziri wa Fedha Bwana Gezalel Smotrich, amewaomba raia wa Israel wakaanzishe makazi kasakzini mwa Gaza. Waziri huyo amedai ya kwamba waisrael kuhamia na kujenga makazi Gaza kutapelekea Usalama ndani ya Israel.
angeonesha mfano wa yeye akajenge hapo kwanza sio kuwasakizia wenzie
 
Waziri wa Fedha Bwana Gezalel Smotrich, amewaomba raia wa Israel wakaanzishe makazi kasakzini mwa Gaza. Waziri huyo amedai ya kwamba waisrael kuhamia na kujenga makazi Gaza kutapelekea Usalama ndani ya Israel.
ndivyo inavyokuaga mara nyingi baada ya vita.. mshindi kwa hiari anaweza akajinyakulia ardhi ya adui aliyeshindwa
 
Waziri wa Fedha Bwana Gezalel Smotrich, amewaomba raia wa Israel wakaanzishe makazi kasakzini mwa Gaza. Waziri huyo amedai ya kwamba waisrael kuhamia na kujenga makazi Gaza kutapelekea Usalama ndani ya Israel.
Hawa wamebanwa leo anawaita wenzake shimoni huyo

82105364-F447-401D-99F2-9E6FE806733F.png
 
Back
Top Bottom