Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba Kabudi atokomea kusiko julikana katikati ya mahojiano na Sauti ya Ujerumani DW

Hapo ndipo mnakosea na watesi wenu wanashangilia.

Mnayo matatizo mengi nchini kuliko huko kwa kina Gachagua, hamuonyeshi juhudi zozote kuyaondosha, mmebaki kushangilia kuondoshwa Gachagua, itawasaidia nini?

Idiots.

Idiots ni watu kama nyie.

Bottom line kupigania lolote na watu kama nyie kwa jina eti ni washirika, ni matumizi mabaya kabisa ya muda.

Labda nikuulize ndugu, hIvi nini kimekukera haswa kwenye andiko hili?
 
Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi pamoja na kusoma UDSM na Ujerumani kuhitimu sheria kiwango hadi cha PhD, na kujiendeleza kwa elimu endelevu elimu isiyo na mwisho kuwa mbobezi wa stori simulizi za jioni kuzunguka moto pia historia ya dunia ikiwemo Geopolitics bado kakimbia ?

TOKA MAKTABA:
 
Idiots ni watu kama nyie.

Bottom line kupigania lolote na watu kama nyie kwa jina eti ni washirika, ni matumizi mabaya kabisa ya muda.

Labda nikuulize ndugu, hIvi nini kimekukera haswa kwenye andiko hili?
Ni mindset yako tu, hakuna kingine.
 
VIGOGO KIMATAIFA WACHEMKA

Kimataifa alianza kuchemsha spika wa bunge la chama dola Dodoma Dr. Tulia Ackson kule bunge la kimataifa na sasa chombo cha media ya kimataifa DW waziri wa sheria aliyejikusanyia sifa kibao ndani ya Tanzania Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi profesa atoka nduki ?

Nini kimewasibu viongozi wa kiserikali wa chama dola kongwe ?
 

Kulidhibiti jahazi linalokwenda mrama hadharani labda ujitoe ufahamu
 
Kasema he is out of time, ana vikao vinamsubiri. Nothing wrong with that.
Kwani haya mazungumzo na vyombo vya habari huwa yanapangwa au wanabahatisha tu kumhoji mtu muda wowote? Mimi nadhani huwa yanapangwa kutokana na availability ya atakayehusika kuhojiwa muda huo, vilevile mahojiano yatakua dakika ngapi.
 
Wewe unaamini kabla ya uwaziri alikuwa jalalani? Jitahidi kuelewa vitu contextually.
Ya kuokotwa jalalani na Magufuli, alidhihilisha Kabudi mwenyewe katika context ya kuonewa huruma kwani alisha kuwa hohehahe!
 
Hivi kwaza ni waziri wa nini huko burundiπŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…