Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Mkuu
Bei ya debe la mahindi kwenye baadhi ya vijiji nchini ni 25000/= hadi sasa, watu wameshaanza kula kwa kununua unga kwa kilo sh.1700 hadi sasa na hii ni Oktoba hatujui January hali itakuwaje!
Fungeni mipaka hali sio nzuri kabisa, watu wasije kufa njaa, mfuko wa sembe ushafika sh.37000/= tena vijijini kabisa hali sio nzuri!
Kufunga mipaka walau hata KWA muda mfupi itasaidia price regulatory mechanism Ili bei ya chakula isije ikapaa Sana Hadi hapo January,mkiacha hivi hivi watakao KUWA na uwezo wa kukinunua ni wachache Sana na hao wakulima wanafurahia bei kubwa watashindwa kuja kukinunua chakula na watalia njaa tena wengi Sana tu na kuilaumu serikali bei zimepanda,ukiongeza na anguko la uchumi wa Dunia kutokana na vita pia ongezeko la bei la bidhaa nyingine litafanya Maisha ya huyo mkulima maskini kuwa magumu mno!!
Ikumbukwe njaa huangusha wafalme tunapaswa kuheshimu na kuchukua tahadhari zote.
Mungu ibariki Tanzania
Naamini utasoma na hatua zitachukuliwa!
UPDATES
Mamlaka ya Hali ya hewa yatabiri kupungua KWA mvua chini ya wastani KWA mikoa 14 nchini,mipaka ifungwe kutunza walau chakula kidogo kilichopo kwani Mwakani mavuno yatakuwa kidogo kutokana na mvua chini ya wastani kama ilivyotabiriwa.
Wizara ya kilimo makinikeni!