Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Alikuwa sawa mara ya mwisho mi kwenda na huyu jamaa kwao galoni ilikuwa na 25k kama sikosei Kwa Sasa sijui. Na material yake yalikuwa yanapatikana Kwa utahisi sana kipindi hicho ni ule mhuhogo uliooza yaani udaga gunia Unakuta linauzwa 15-20k tuMi nakumbuka mzee mmoja alifungwa gerezani kwa kesi ya gongo. Siku ameachiliwa nikamuuliza, "Utakwenda kufanya kazi ya gongo tena?". Alinijibu kwa ujasiri kuwa hawezi kuacha kazi hiyo kwa sababu imemuwezesha kusomesha watoto wake, amefungua bucha mbili za nyama na ana nyumba za kupangisha. Alijinasibu kuwa biashara ya gongo kwake ni zaidi ya mgodi (madini), maana kule ni pata potea. Hiyo ilikuwa mwaka 1999 jijini Arusha.