Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Alikuwa sawa mara ya mwisho mi kwenda na huyu jamaa kwao galoni ilikuwa na 25k kama sikosei Kwa Sasa sijui. Na material yake yalikuwa yanapatikana Kwa utahisi sana kipindi hicho ni ule mhuhogo uliooza yaani udaga gunia Unakuta linauzwa 15-20k tuMi nakumbuka mzee mmoja alifungwa gerezani kwa kesi ya gongo. Siku ameachiliwa nikamuuliza, "Utakwenda kufanya kazi ya gongo tena?". Alinijibu kwa ujasiri kuwa hawezi kuacha kazi hiyo kwa sababu imemuwezesha kusomesha watoto wake, amefungua bucha mbili za nyama na ana nyumba za kupangisha. Alijinasibu kuwa biashara ya gongo kwake ni zaidi ya mgodi (madini), maana kule ni pata potea. Hiyo ilikuwa mwaka 1999 jijini Arusha.
1.Nchi gani wanatumia bangi kuzalisha mafuta ya kupikia?Mpaka mafuta ya kupikia chakula ya bangi ni bora kuliko mafuta yoyote tunayoagiza kutoka nje, na kuna aina fulani ya bangfi inaweza kuzalisha mafuta kwa wingi sana.
Msidhani yanalewesha, hayaleweshi yakifanyiwa "purification".
utazibiti❌️BANGI! UTAZIBITI VP UVUTAJI WAKE? C VIJANA WOTE WATAKUWA MATAHIRA
Kwanini wamagharibi walipiga marufuku zao la bangi?Hilo sahihi kabisa, tulijazwa ujinga na wamagharibi wakalipiga marufuku zao muhimu sana lenye faida kwa faida zao tu.
Wametujaza ujinga kwa muda mrefu sana, ni wakati muafata tuwe huru kwa fikra na mawazo yetu.
ZAo muhimu sana kuliko yote, !!!!!!Msifikiri utani, moja katika madawa muhimu sana yanayoweza kutokana na bangi ni dawa za nguvu za kiume na kike.
Bangi ni zao muhimu sana kuliko yote kwa ustawi wa jamii.
Gongo kama Gongo sio Tatizo. Tatizo ni watumiaji. Mfano, Mtu anakwenda asbh. hajala chochote anamimina chupa nzima. Jioni anarudi hoi analala bila kula chochote. Kwa nini midomo na maini visiungue?Alikuwa sawa mara ya mwisho mi kwenda na huyu jamaa kwao galoni ilikuwa na 25k kama sikosei Kwa Sasa sijui. Na material yake yalikuwa yanapatikana Kwa utahisi sana kipindi hicho ni ule mhuhogo uliooza yaani udaga gunia Unakuta linauzwa 15-20k tu
Kwa maana hiyo hata miwa ni madawa ya kulevya, alcohol kwa wingi inatokana na miwa.Bhangi sio mbaya Ila tuliaminishwa na wakoloni kwamba Ni mbaya, hao wenyewe Sasa wanailima Ila kwetu wanasema Ni madawa ya kulevya.
Yes Exactly. Sisi huku tumedandia tu mtumbwi wa vibwengo. Hatujui tunakoelekea na tutakapostuka, tutakuwa tumechelewa sana.Kwa sababu za kimafia, fulani na fulani tu wanufaike (cartel).
Brazil wanatengeneza gongo wanatumia kuendeshea magari yao, tena inauzwa kwa pump vituo vya mafuta.Gongo kama Gongo sio Tatizo. Tatizo ni watumiaji. Mfano, Mtu anakwenda asbh. hajala chochote anamimina chupa nzima. Jioni anarudi hoi analala bila kula chochote. Kwa nini midomo na maini visiungue?
Serikali umejitia upofu kwa kuruhusu Spirits (konyagi, Kijogoo,etc) kuuzwa kihalali eti hao wanalipa kodi - but in the real sense vyote hivyo gongo,konyagi etc ni Ethanol.
Badilisha kwanza sera ya kodi ya taifa! Kujenga viwanda vikubwa Tanzania ni vigumu, vinginevyo Nike, adidas, Wangekuja hapaNaomba hapa Hasahasa ilimwe kwa ajili ya Export tu parekebishwe kuwa kwa matumizi sahihi kwani hata ss waTz tunahitaji kuwa na vi wanda vyetu wenyewe vya kuichakata bangi kupata madawa yaliyomo ndani yake badala ya kuyaagiza madawa yatokanaya na bangi huko tulikoiuza tena kwa bei poa halafu bei ya madawa yatokanayo na bangi yetu wanatuuzia kwa bei mbaya.
Bangi ni zao muhimu sana, ni malighafi kwa karibia kila kitu cha matumizi ya binadam.Yes Exactly. Sisi huku tumedandia tu mtumbwi wa vibwengo. Hatujui tunakoelekea na tutakapostuka, tutakuwa tumechelewa sana.
Bangi ni zao TAKATIFU.
Mkuu; waTz Raia walishaamka kitambo ila Serikali yao bado inakoroma usingizini. Nadhani Dozi ya mkoloni (Brainwash) ilizidishwa kipimo kwa Serikali na mamlaka zake. e.g. Waliopo humo serikali na vyombo vyake kwa kificho ni watumiaji mno wa zao hilo; ila wakija huku kwetu hadharani wanatukazia ss macho.Kwa maana hiyo hata miwa ni madawa ya kulevya, alcohol kwa wingi inatokana na miwa.
Tumedanganywa kiasi cha kutosha. Ni wakati tuamke.
Tuna tatizo kubwa la waziri w fedha na sera zake za mikopo.Badilisha kwanza sera ya kodi ya taifa! Kujenga viwanda vikubwa Tanzania ni vigumu, vinginevyo Nike, adidas, Wangekuja hapa
Tukipunguza kodi tutaongeza ajira, na kuboresha uchumi kwa kuongeza pato la mtu mmoja mmoja