Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Waziri Simbachawene hii sasa ni too much. Kila baada ya mwezi huko Mwanza tunasikia watu wamegoma kuzika mwendazake.
Habari kubwa ni Kiongozi wa Serikali za mitaa kupiga na kisha kuua wanaotuhumiwa vibaka, ndani ya ofisi za Serikali.
Wananchi nao wanakasirika na kuchukua miili za marehemu nakuzipeleka ofisi za viongozi wa serikali na kuziweka ndani ya ofisi.
Polisi Mwanza wao wanalazimisha watu wazike ndugu zao bila kutoa ufumbuzi.
Lakini kama watuhumiwa wanauliwa ndani ya ofisi za serikali hili sio kosa?
Kwanini RPC wa Mwanza hatatui hili tatizo?
Tukio lililopita ilisadikiwa kijana aliuwawa na Mwenyekiti wa mtaa kwa kuiba kanda mbili. Leo kuna kijana aliuwawa na imekuwa vurugu kwenye maziko yake.
Kwa taifa ambalo lipo uchumi wa kati ni aibu kuwa na vurugu kama hizi.
Pia soma > Mauaji Tarime: Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini adaiwa kuua na kufadhili msiba kukwepa mkono wa Sheria