Waziri wa Mambo ya Ndani ingilia kati juu ya mauaji yanayofanywa na viongozi wa Serikali za Mitaa huko Mwanza

Waziri wa Mambo ya Ndani ingilia kati juu ya mauaji yanayofanywa na viongozi wa Serikali za Mitaa huko Mwanza

Na kwa taarifa yako nipo humu huu mwaka wa 15, halafu nani anataka umsifu mtu,

yule alichapa kazi bila kusubiri sifa zako,
Angekuwa anasubiri sifa zako asingefanya yale aliyokuwa kapanga kuyafanya,

wewe nenda kawafanyie kijijini kwenu huko hata wanunulie wali tu wale, washibe ndio wakusifu ufurahi, unasikie.

na ukome na malawama yako hapa yasiyokuwa na msingi

We lazimisha tu kuja guest na kanga moja. Kwa huku utaishia kuumia tu maana unapewa kitu na box.
 
Bado hujapanick utapanick sana dogo.
Utapanick wewe usiyekuwa na jema hapa duniani,
Unajipa pleasure buuure,

kama huna cha kuchangia kaa pembeni, tuache sisi tusome hoja zenye mashiko,

maana wengine sisi
We lazimisha tu kuja guest na kanga moja. Kwa huku utaishia kuumia tu maana unapewa kitu na box.
ndio maana nilikwambia huna hoja zozote za maana,
 
Utapanick wewe usiyekuwa na jema hapa duniani,
Unajipa pleasure buuure,

kama huna cha kuchangia kaa pembeni, tuache sisi tusome hoja zenye mashiko,

maana wengine sisi

ndio maana nilikwambia huna hoja zozote za maana,

Hoja nitoe wapi, check kwenye marking scheme yako unidisco. Huku dhalimu tunampa ukweli wake, kama ulikuwa mchepuko wake leo mtoto asiye na baba. Yaani habari ndio hiyo.
 
Wewe umechanganyikiwa, haupo vizuri kiakili, Mh Magufuli ( Hayati), alikufanyia nini kibaya hivyo wewe mwenyewe binafsi mpaka kila tatizo umtupie lawama yeye?, mpaka unakela sasa, hebu jikite sasa katika kuchangangia hoja ki positive,

au unafikiri ni sifa, Magufuli hayupo, sasa si umefurahi nini cha zaidi unataka?

kiufupi tumechoka na hizo lawama zako!
Tumechoka[emoji3582] Nimechoka[emoji3581] koma kutusemea shenzi kbs wewe mwanaharamu. Tindo endelea kumzibua mwendazake.
 
Na kwa taarifa yako nipo humu huu mwaka wa 15, halafu nani anataka umsifu mtu,

yule alichapa kazi bila kusubiri sifa zako,
Angekuwa anasubiri sifa zako asingefanya yale aliyokuwa kapanga kuyafanya,

wewe nenda kawafanyie kijijini kwenu huko hata wanunulie wali tu wale, washibe ndio wakusifu ufurahi, unasikie.

na ukome na malawama yako hapa yasiyokuwa na msingi
Kuita vyombo vyote vya habari na kugawa hela sio sifa?
 
Wewe umechanganyikiwa, haupo vizuri kiakili, Mh Magufuli ( Hayati), alikufanyia nini kibaya hivyo wewe mwenyewe binafsi mpaka kila tatizo umtupie lawama yeye?, mpaka unakela sasa, hebu jikite sasa katika kuchangangia hoja ki positive,

au unafikiri ni sifa, Magufuli hayupo, sasa si umefurahi nini cha zaidi unataka?

kiufupi tumechoka na hizo lawama zako!
Yu wapi Ben Saanane ?
IMG-20210514-WA0207.jpg
 
Mbaya zaidi polisi wanamlinda aliyesababisha mauaji. Kwa utaratibu wa kawaida baada ya wananchi kulalamika kwamba chanzo cha kifo kimetokana na kupigwa na mtu au watu fulani, tulitegemea kuwa mwili huo haungalizikwa hadi postmortam examination ifanyike hospitalini na watuhumiwa kufunguliwa jalada la upelelezi wa polisi. Cha ajabu polisi wanalazimisha kuzika kithibiti hicho cha suspected murder case. Haki ya kuishi ndiyo haki kuu kuliko haki zote zilizoko kwenye katiba yetu na katiba za nchi zote duniani. Huko Mwanza haki hiyo imekuwa ikiporwa wazi wazi. Mtu anatuhumiwa kaiba ndala akifikishwa kwenye serikali ya mtaa, mwenyekiti wa mtaa anamuua na polisi wanampa support.
Kuna tatizo kubwa kwa polisi Mwanza wanalinda sana wanaochukua sheria mkononi.
 
Huo mtindo wa viongozi kuuwa wananchi uliasisiwa na jiwe na genge lake, kisha akawa hataki vyombo vya habari kutangaza hizo habari. Kwenye chaguzi zote za kihayawani ambazo zilifanyika chini ya utawala wake, ndio zimeingiza hao viongozi mumiani. Huyo waziri unayetaka achukue hatua naye ni zao la uchaguzi wa mauji na ukatili, sasa atamchukulia nani hatua?
Hiyo chuki ndugu kwa shujaa wetu JPM sasa itakumaliza i see! Hata wife akizingua naamini chanzo kwako itakuwa ni jiwe 😂😀😃😤☹️😡😠! JPM shujaa wetu mpendwa pumzika kwa amani kabisa kwenye raha ya milele, amen 🙏!
 
Huo mtindo wa viongozi kuuwa wananchi uliasisiwa na jiwe na genge lake, kisha akawa hataki vyombo vya habari kutangaza hizo habari. Kwenye chaguzi zote za kihayawani ambazo zilifanyika chini ya utawala wake, ndio zimeingiza hao viongozi mumiani. Huyo waziri unayetaka achukue hatua naye ni zao la uchaguzi wa mauji na ukatili, sasa atamchukulia nani hatua?
Nimeitafuta 'post' hii ili nami nijiridhishe kuhusu ubaya wake baada ya kuona majibishano juu yake huko chini.

'Impunity', (sijui kiswahili chake), ni zao halisi la utawala wa marehemu Magufuli.

Tumeona jinsi akina Sabaya na akina Makonda walivyokuwa juu ya sheria.

Haijapata kutokea ndani ya nchi hii kukawepo na hali ya namna ile tokea tupate uhuru wetu.

Baada ya kuyasema hayo, ni wazi kwamba lawama zinazoelekezwa kwako na wapenzi wa marehemu Magufuli hazina msingi.
 
Wewe umechanganyikiwa, haupo vizuri kiakili, Mh Magufuli ( Hayati), alikufanyia nini kibaya hivyo wewe mwenyewe binafsi mpaka kila tatizo umtupie lawama yeye?, mpaka unakela sasa, hebu jikite sasa katika kuchangangia hoja ki positive,

au unafikiri ni sifa, Magufuli hayupo, sasa si umefurahi nini cha zaidi unataka?

kiufupi tumechoka na hizo lawama zako!
Ukiwa na akili timamu utajua uozo na ujinga wa Hayati Magufuli.
 
Umejiunga mwezi februari umeshachoka lawama zangu, je waliojiunga wakati anaingia madarakani na sijawahi kumsifia wafanyeje? Mtu dhalimu hawezi kusifiwa, akiwa hai au akiwa motoni, haya ndio malipo ya udhalimu, hutaki kunywa sumu hapo pembeni ya kaburi ukiwa lindo.
kuna watu wanadhan ule wimbo wa marehem hasemwi vibayani ni kanuni ya asili. wakat ni sera. Apumzike anapostahili.
 
Back
Top Bottom