KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mbona unapenda sana kujisahaulisha.Fuatilia vizuri record zako kama mimi nilishaunga mkono uvunjifu wa haki za binadamu.
Huu ndio upuuzi wako unapoanzia. Wewe ulikuwa huambiwi kitu kuhusu huyo mtu unayemkana hapa sasa hivi.