Waziri wa Mambo ya Ndani ingilia kati juu ya mauaji yanayofanywa na viongozi wa Serikali za Mitaa huko Mwanza

Fuatilia vizuri record zako kama mimi nilishaunga mkono uvunjifu wa haki za binadamu.
Mbona unapenda sana kujisahaulisha.

Huu ndio upuuzi wako unapoanzia. Wewe ulikuwa huambiwi kitu kuhusu huyo mtu unayemkana hapa sasa hivi.
 
Hahahaa
 
Unaiba ndala unatoka unaiba kuku umeachwa tu ukatoka Apo ukafunya nyumba unaenda kuwa jambaz wa kuteka na kutumia silaha ..Sasa samaki mkunje angali mbichi ....wiz imekidhiri Sana Sasa hv mm hapa Nisha ibiwa status ya scania na betteri jumla laki Tisa zote mm natoa wapi wezi wajitadhimini
 
Mbona unapenda sana kujisahaulisha.

Huu ndio upuuzi wako unapoanzia. Wewe ulikuwa huambiwi kitu kuhusu huyo mtu unayemkana hapa sasa hivi.
Sawa, nakujua jinsi ulivyombumbumbu.sioni sababu ye wewe kutokubali ukweli.
 
Kawaulize CCM


 
Jikite kwenye mada we bwege
 
Hakuna kuweka watu mahabusu bila ushahidi- na nina hakika ukiitwa kwenda kutoa ushahidi huendi kwa sababu hukuwepo. acha uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…