huenda usingesusa uchaguzi ungeelewa kirahisi sana gentleman,
hata hivyo,
nadhani ni athariri za kisaikolojia unazopitia baada ya kususia uchaguzi ndizo zinakutesa na kukufanya usielewe jambo rahisi kama hilo. Inshaalah, ukiacha kufuata mkumbo unaweza kupona
Kilasiku tunasema huyu RAISI Akili Zake ni kisoda na sasa inabidi mkubali Tu , RAISI amekaa na Baraza la mawaziri na amekuja na plan hii ya kuwapa madaraka juu ya wizara tofauti.