Kama ni kweli aliomba kujiuzulu kwa heshima(kimya kimya) sidhani kama watamuwekea vikwazo kwenye mambo yake tofauti na Polepole alijiuzulu kwa kuweka barua yake kwenye mitandao na kuonesha wazi kutokubaliana na mambo yanayoendelea.na yeye watamteka, au watamwekea tanchi kwa kila afanyacho.
Wenzie wakaweka heshima nyumaWatu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo.
Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa hasira. Hii ni tabia ya Mama ya kawaida ya kiburi kilicho pitiliza.
Polepole alitoa barua hadharani lakini huyu waziri aliweka heshima mbele
Mbaga JrPolepole alitoa barua hadharani lakini huyu waziri aliweka heshima mbele🤔
Watu wakisema nchi imekuwa ya kihuni imekosa utawala bora wanashupaza shingo hata ungekuwa wewe unajua siri za boss wako mmebaka, mmeua unajua furani na furani tuliwateka na wapo sehemu furani endapo jamii ikijuwa taharuki lazima iwe kubwa leo hii uniletee boss ambaye ajui A to Z aanze nipangia majukumu kweli leo hiiWatu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo.
Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa hasira. Hii ni tabia ya Mama ya kawaida ya kiburi kilicho pitiliza.
Polepole alitoa barua hadharani lakini huyu waziri aliweka heshima mbele
Angalia tu hata akili ya huyo aliyeteuliwa kuwa waziri mkuu ndiyo utaona namna nchi inavyo elekea shimoni.Eti katambi Hivi muhuni na Malaya naye anaweza kuwa waziri Tena wa wiza nyeti Mambo ya ndani?
Imagine eti makonda alitevamia clouds anakuwa waziri wa kusimamia Uhuru wa Habari duh
Tuna nchi ya kipumbavu Sana kwa sasa
Hivi Unajua alikuwa konda wa basi? Siamini kuwa na ubavu huo. Tunamfahamu tangu akiwa kuleeeeeePolepole alitoa barua hadharani lakini huyu waziri aliweka heshima mbele🤔
Nani alikuwa konda ? funguka in fullHivi Unajua alikuwa konda wa basi? Siamini kuwa na ubavu huo. Tunamfahamu tangu akiwa kuleeeeee
SimbachaweneNani alikuwa konda ? funguka in full
Mama lenu halina ubongo wa kuchuja. Linafanya kazi kwa maelekezo ya kikweteEti katambi Hivi muhuni na Malaya naye anaweza kuwa waziri Tena wa wiza nyeti Mambo ya ndani?
Imagine eti bashite alitevamia clouds anakuwa waziri wa kusimamia Uhuru wa Habari duh
Tuna nchi ya kipumbavu Sana kwa sasa
Alikuwa agent bwana siyo konda!Hivi Unajua alikuwa konda wa basi? Siamini kuwa na ubavu huo. Tunamfahamu tangu akiwa kuleeeeee