Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
hawana tena hoja . Sasa hivi wamehamia VenezuelaMaandamano yao yameishia wapi kwani mafala hao
hawana tena hoja . Sasa hivi wamehamia VenezuelaMaandamano yao yameishia wapi kwani mafala hao
Niite tahiraTatizo liko wapi?
Wakiteuliwa wazee kama Wasira, Agrey Mwanry mnaongea, wakiteuliwa vijana mnaongea.
Mkiitwa Matahira mnakasirika
Bila kusahau kukurupuka!!Hii ni tabia ya Mama ya kawaida ya kiburi kilicho pitiliza
Nchi yangu Tz na kulilia machozi yote.Ila yote haya kwaninii?Watu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo.
Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa hasira. Hii ni tabia ya Mama ya kawaida ya kiburi kilicho pitiliza.
Polepole alitoa barua hadharani lakini huyu waziri aliweka heshima mbele
Wewe mwenyewe akili endelea kumuamini gerson msigwa wacha sisi wajinga tuendelee kuwasikiliza wqjinga wenzetuNyie wajinga wanafunzi wa Recho mdangaji na Mange kimambi hamna akili.
Ni Matahira kabisa, mnashindwa kutumia hata akili kidogo kufikiri mambo mbalimbali.
Kila ujinga mnaomezeshwa mnaumeza mazima.
Matahira wakubwa nyie
Taahira basha wako anayekukojoleaNyie wajinga wanafunzi wa Recho mdangaji na Mange kimambi hamna akili.
Ni Matahira kabisa, mnashindwa kutumia hata akili kidogo kufikiri mambo mbalimbali.
Kila ujinga mnaomezeshwa mnaumeza mazima.
Matahira wakubwa nyie
yule dogo sijui ataongozaje ile wizara inataka ubabe bila kujali bosi wa juu atajisikiajeSasa wizara nyeti kama hii ndo kakosa mtu mpaka amweke yule dogo
Wewe mwenyewe akili endelea kumuamini gerson msigwa wacha sisi wajinga tuendelee kuwasikiliza wqjinga wenzetu
Wizara ina watu wamepinda hebu cheki tu sura ya wambura! Muliro katambi atawaambia niniyule dogo sijui ataongozaje ile wizara inataka ubabe bila kujali bosi wa juu atajisikiaje
Alikuwa agent bwana siyo konda!
Konda au agent na informer?Hivi Unajua alikuwa konda wa basi? Siamini kuwa na ubavu huo. Tunamfahamu tangu akiwa kuleeeeee
Kamweka yule dogo ili Abdi aweze kumwambia kila atakaloSasa wizara nyeti kama hii ndo kakosa mtu mpaka amweke yule dogo
Mbona wengi wanaripoti moja kwa moja! Usisahau alishakuwa waziri wa wizara hiyo beforeAweke barua hadharani ila ilikuwa ngumu kufanya kazi IGP,UHAMIAJI BOSS, MAFWERE,MAGEREZA wakudharau kisa wana report moja kwa moja kwa Samia
Ukishakuwa "muhuni" inabidi usogeze "wahuni" wengine mlindane kwenye "uhuni"Eti katambi Hivi muhuni na Malaya naye anaweza kuwa waziri Tena wa wiza nyeti Mambo ya ndani?
Imagine eti bashite aliyevamia clouds anakuwa waziri wa kusimamia Uhuru wa Habari duh
Tuna nchi ya kipumbavu Sana kwa sasa
Samia unakunywa damu za watu
Ndio hivyo tena. Kubwa ni aliyekuteua kuwa waziri jana, leo kaona hufai na katengua nafasi yako. Ulitaka kujiuzulu au umetemwa tu, kwetu sisi wananchi haina tofauti.Watu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo