Tetesi: Waziri wa Mambo ya Ndani (Simbachawene) yasemekana aliandika barua ya kujiuzulu

Tetesi: Waziri wa Mambo ya Ndani (Simbachawene) yasemekana aliandika barua ya kujiuzulu

Simba chawene hawezi kuandika barua ya kujiuzulu. Huu ni upotoshaji.

Rejea scenario ya filipo mpango kuomba kupumzika. Huyu Simba chawene alitoka hadharani akasema ameshangaa sana mpango kuomba kupumzika wakati yeye(akijirejelea mwenyewe) kwa kusema yeye bado sana
Naweza kubali nchi hii mpaka mtu ajiuzuru kwa nyakati izi sio jambo dogo , waliweza wakina ,Mwinyi na Nyerere, sio zama hizi, kama kweli basi hapewe pongenzi
 
hawana tena hoja . Sasa hivi wamehamia Venezuela

hauelewi hizi dynamics labda, ndiyo sasa hivi tuko venezuela kwanza hata tumeshatoka huko sasa tuko islamic republic of iran, regime ya islamic republic ikiangauka na inaenda kuanguka ni ushindi kwetu pia kwani kishindo chake kitafikia tanzagiza ...
 
Watu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo.

Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa hasira. Hii ni tabia ya Mama ya kawaida ya kiburi kilicho pitiliza.

Polepole alitoa barua hadharani lakini huyu waziri aliweka heshima mbele
Aliyejiuzulu ataangaliwa kwa jicho la karibu sana.

Sina hakika na maisha yake ya kudumu hapa duniani.

Lakini ngoja inyeshe tuone panapovuja.
 
Msiingie mkenge wa kuwasafisha watu kwa drama za kutengeneza na propaganda. Wahuni wanajitengenezea Plan B in case mkiendelea kuwakataa.
 
Tanzania haiwezi kukombolewa hapa wachanhiaji wote wamekubali Samia ni rais bila kumchagua tena wanajadili kuhusu teuzi zake 🤣🤣🤣🤣
 
Sasa wizara nyeti kama hii ndo kakosa mtu mpaka amweke yule dogo
Inasikitisha wizara nyeti kama hizo kwa muda mrefu ndio huewekwa watu wa hovyo na average ili wasihoji sana na wawe rahisi kuwa controlled.
 
Tanzania haiwezi kukombolewa hapa wachanhiaji wote wamekubali Samia ni rais bila kumchagua tena wanajadili kuhusu teuzi zake 🤣🤣🤣🤣
Ni ajabu sana. Wadau wanajadili kama vile tuna serikali halali na mambo yametengamaa kama kawaida. Wameshasahau msiba mkuu uliotupata. Tena wanajadili sifa za mawaziri kama vile nchi hii waziri ana maamuzi yoyote.

Wake up guys! This is a TOTALITARIAN STATE! Maamuzi yote muhimu kuhusu kila wizara, kila taasisi na kila mhimili yanafanywa na Rais na genge lake. Mawaziri ni mapambo tu. Ni wapiga debe, ni matarishi, ni machawa, period. Eti waziri bora, kwa nani? Wananchi?
 
Inawezekana alisema vile kutokana na Wizara aliyokuwepo ila Wizara ya mambo ya ndani ni ngumu sana.
Waziri ameongea mara nyingi kuwa polisi wakamate watu kwa kufuata utaratibu halafu wajuba hawajali wakaendelea na mbilinge zao, unategemea nini hapo.
Hakuna Cha wizara ngumu sema tu Rais mbovu
 
Hivi Unajua alikuwa konda wa basi? Siamini kuwa na ubavu huo. Tunamfahamu tangu akiwa kuleeeeee
Kua konda kuna tatizo gani?? wabongo banaa kwa kudharau kazi za watu utasema hako kanchi ni First World kumbe ni Third World iliochoka mbayaa na mashida ya umeme na maji. Kazi ni Kazi, kila mtu kuna sehemu anaanzia na kuendelea kupanda hadi kwenye ndoto zake,. Nina uhakika atakua kajiuzulu kutokana madudu aliokuta huko wizarani yalioachwa na Bashungwa, yenye kashfa kibao za utekaji na mauaji. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
 
Enzi za Simbachawene si sawa na sasa! Enzi hizo ni kichwa chako tu. Kwa sasa, ili ufanikiwe Inategemea wewe ni nani. Technically know who siyo technically know how
 
Watu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo.

Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa hasira. Hii ni tabia ya Mama ya kawaida ya kiburi kilicho pitiliza.

Polepole alitoa barua hadharani lakini huyu waziri aliweka heshima mbele
Sio KWELI
 
Hivi waziri hana mamlaka ya kuwajibisha askari wasiotii amri katika wizara yake? Kwa nini achague heshima kwa kuyanyamazia maovu?
 
Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa hasira. Hii ni tabia ya Mama ya kawaida ya kiburi kilicho pitiliza.

Polepole alitoa barua hadharani lakini huyu waziri aliweka heshima mbele
George hadurahishwi na zile drama za WU A U sema ndio hivyo tena, who is next Dorothy?
 
Kama ni kweli aliomba kujiuzulu kwa heshima(kimya kimya) sidhani kama watamuwekea vikwazo kwenye mambo yake tofauti na Polepole alijiuzulu kwa kuweka barua yake kwenye mitandao na kuonesha wazi kutokubaliana na mambo yanayoendelea.
tafsiri rahis ya kujiuzulu ni kwamba hukubaliana na boss wako, umetofautiana au haukubalian na walio chn yako kwa hyo kulinda heshma yako unajiuzulu au unawajbika kwa makosa waliyofanya walio chn yako kwa hz nafasi za uteuzi, na kwa africa kujiuzulu inatafsiriwa kama dharau kwa mteuzi kama siyo uwajibikaji, anaweza asikufanyie figisu mteuzi ila ukafanyiwa na wengne, rejea ishu ya mayalla baada ya just kumuuliza swali la kikatiba jiwe.
 
Back
Top Bottom