na ukweli ni huo huyu simba kajiuzuru maana kaona watu anaowasimamia hawamsikilizi kaona isiwe tabuWatu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo.
Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa hasira. Hii ni tabia ya Mama ya kawaida ya kiburi kilicho pitiliza.
Polepole alitoa barua hadharani lakini huyu waziri aliweka heshima mbele
iran haishindwi labda wakatoliki ndio watashindwahauelewi hizi dynamics labda, ndiyo sasa hivi tuko venezuela kwanza hata tumeshatoka huko sasa tuko islamic republic of iran, regime ya islamic republic ikiangauka na inaenda kuanguka ni ushindi kwetu pia kwani kishindo chake kitafikia tanzagiza ...
iran haishindwi labda wakatoliki ndio watashindwa
Nchimbi ni muadilifu?Polepole alisema kuna "wahuni". Mtu mwadilifu hawezi kuchangamana na wahuni. Namshauri hata Nchimbi naye ajiongeze.
Happy new year Mkuumaccm ajiuzulu uwaziri?
acheni kumpa wema simbachawene
hakuna liccm lolote lilishawahi jiuzulu uwaziri nchi hii kuacha mwinyi na ni historia mpaka leo
yaani watz tunajisahaulisha mno......liccm lolote lijiuzulu waziri?NEVER
hawajaelewana kwenye mawizi yao wakatimuana
acheni kumpa utakatifu jizi jingine liccm hapa
acheni ujinga kabisa
Appointments zenyewe zinafanyika kwa kufuata mchakato wa kipumbavu. Mtu anateuliwa bila hata kuulizwa (kama yuko interested) na kuwa subjected to an interview of some sort. Vetting (if any) inafanyika kwa usiri mkubwa, unnecessarily. A Presidential appointment shouldn’t be a 100% surprise to the appointee! Sio kila mtu anataka uteuzi fulani.Watu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo.
Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa hasira. Hii ni tabia ya Mama ya kawaida ya kiburi kilicho pitiliza.
Polepole alitoa barua hadharani lakini huyu waziri aliweka heshima mbele
za kupotea mtoto mzuri?Happy new year Mkuu
Nigawie na mimi hiyo formula Mkuu,za kupotea mtoto mzuri?
happy new year too!
hela tu ndio zinaleta kiburi,ngoja kwanza nishapata formula yake,subiri uone..hahahahaa
You will be the first one to get it!Nigawie na mimi hiyo formula Mkuu,
Siku zinakatika bado sina hela.
Ccm hawataki kabisa tuje Jf tufurahi
Wameifungia Jf, hadi tutumie VPN.
😂😂😂😂😂😂You will be the first one to get it!
I swear on my balls...hahahaaa
Katambi kwa mademu ni nomaa waulize kina mzee wanamjuaEti katambi Hivi muhuni na Malaya naye anaweza kuwa waziri Tena wa wiza nyeti Mambo ya ndani?
Imagine eti bashite aliyevamia clouds anakuwa waziri wa kusimamia Uhuru wa Habari duh
Tuna nchi ya kipumbavu Sana kwa sasa
Trump yupo sahihi sana