Tetesi: Waziri wa Mambo ya Ndani (Simbachawene) yasemekana aliandika barua ya kujiuzulu

Simba chawene hawezi kuandika barua ya kujiuzulu. Huu ni upotoshaji.

Rejea scenario ya filipo mpango kuomba kupumzika. Huyu Simba chawene alitoka hadharani akasema ameshangaa sana mpango kuomba kupumzika wakati yeye(akijirejelea mwenyewe) kwa kusema yeye bado sana
 
Inawezekana alisema vile kutokana na Wizara aliyokuwepo ila Wizara ya mambo ya ndani ni ngumu sana.
Waziri ameongea mara nyingi kuwa polisi wakamate watu kwa kufuata utaratibu halafu wajuba hawajali wakaendelea na mbilinge zao, unategemea nini hapo.
 
Hapana
Ila alisikia tetesi hizo mapema
 
Nyie wajinga wanafunzi wa Recho mdangaji na Mange kimambi hamna akili.
Ni Matahira kabisa, mnashindwa kutumia hata akili kidogo kufikiri mambo mbalimbali.
Kila ujinga mnaomezeshwa mnaumeza mazima.
Matahira wakubwa nyie
 
Kama ndivyo , Mungu ambariki sana . anitumie no yake nimpatie vocha ya laki moja
 
Polepole alisema kuna "wahuni". Mtu mwadilifu hawezi kuchangamana na wahuni. Namshauri hata Nchimbi naye ajiongeze.
 
Nyie wajinga wanafunzi wa Recho mdangaji na Mange kimambi hamna akili.
Ni Matahira kabisa, mnashindwa kutumia hata akili kidogo kufikiri mambo mbalimbali.
Kila ujinga mnaomezeshwa mnaumeza mazima.
Matahira wakubwa nyie
So Mama watoto umeamua kuonesha rangi yako halisi , nimekuchukia , sasa ni mwendo wa kukupiga spana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…