4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Naweza kubali nchi hii mpaka mtu ajiuzuru kwa nyakati izi sio jambo dogo , waliweza wakina ,Mwinyi na Nyerere, sio zama hizi, kama kweli basi hapewe pongenziSimba chawene hawezi kuandika barua ya kujiuzulu. Huu ni upotoshaji.
Rejea scenario ya filipo mpango kuomba kupumzika. Huyu Simba chawene alitoka hadharani akasema ameshangaa sana mpango kuomba kupumzika wakati yeye(akijirejelea mwenyewe) kwa kusema yeye bado sana
Mkuu,Simbachawene asingeweza kufanya kazi na wavuta bangi kama IGP wambura et al.
hawana tena hoja . Sasa hivi wamehamia Venezuela
Aliyejiuzulu ataangaliwa kwa jicho la karibu sana.Watu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo.
Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa hasira. Hii ni tabia ya Mama ya kawaida ya kiburi kilicho pitiliza.
Polepole alitoa barua hadharani lakini huyu waziri aliweka heshima mbele
Nasikia stand ya mabasi Dodoma miaka ya 1990 mwanzoni.Chombo hiko.kilikuwa kazini maeneo ya stendi ya mabasi
Sio Samia mkuu, ni Abdully au umesahauAweke barua hadharani ila ilikuwa ngumu kufanya kazi IGP,UHAMIAJI BOSS, MAFWERE,MAGEREZA wakudharau kisa wana report moja kwa moja kwa Samia
Inasikitisha wizara nyeti kama hizo kwa muda mrefu ndio huewekwa watu wa hovyo na average ili wasihoji sana na wawe rahisi kuwa controlled.Sasa wizara nyeti kama hii ndo kakosa mtu mpaka amweke yule dogo
Ok sawa Abdul AmeirSio Samia mkuu, ni Abdully au umesahau
Ni ajabu sana. Wadau wanajadili kama vile tuna serikali halali na mambo yametengamaa kama kawaida. Wameshasahau msiba mkuu uliotupata. Tena wanajadili sifa za mawaziri kama vile nchi hii waziri ana maamuzi yoyote.Tanzania haiwezi kukombolewa hapa wachanhiaji wote wamekubali Samia ni rais bila kumchagua tena wanajadili kuhusu teuzi zake 🤣🤣🤣🤣
Hakuna Cha wizara ngumu sema tu Rais mbovuInawezekana alisema vile kutokana na Wizara aliyokuwepo ila Wizara ya mambo ya ndani ni ngumu sana.
Waziri ameongea mara nyingi kuwa polisi wakamate watu kwa kufuata utaratibu halafu wajuba hawajali wakaendelea na mbilinge zao, unategemea nini hapo.
Na polisi wanakiburi awamu haijawahi tokea, kiburi cha jeuri kabisa.Nchi yangu Tz na kulilia machozi yote.Ila yote haya kwaninii?
Kua konda kuna tatizo gani?? wabongo banaa kwa kudharau kazi za watu utasema hako kanchi ni First World kumbe ni Third World iliochoka mbayaa na mashida ya umeme na maji. Kazi ni Kazi, kila mtu kuna sehemu anaanzia na kuendelea kupanda hadi kwenye ndoto zake,. Nina uhakika atakua kajiuzulu kutokana madudu aliokuta huko wizarani yalioachwa na Bashungwa, yenye kashfa kibao za utekaji na mauaji. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.Hivi Unajua alikuwa konda wa basi? Siamini kuwa na ubavu huo. Tunamfahamu tangu akiwa kuleeeeee
Enzi za Simbachawene si sawa na sasa! Enzi hizo ni kichwa chako tu. Kwa sasa, ili ufanikiwe Inategemea wewe ni nani. Technically know who siyo technically know howKua konda kuna tatizo gani?? wabongo banaa kwa kudharau kazi za watu utasema hako kanchi ni First World kumbe ni Third World iliochoka mbayaa na mashida ya umeme na maji. Kazi ni Kazi, kila mtu kuna sehemu anaanzia na kuendelea kupanda hadi kwenye ndoto zake,. Nina uhakika atakua kajiuzulu kutokana madudu aliokuta huko wizarani yalioachwa na Bashungwa, yenye kashfa kibao za utekaji na mauaji. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
Sio KWELIWatu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo.
Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa hasira. Hii ni tabia ya Mama ya kawaida ya kiburi kilicho pitiliza.
Polepole alitoa barua hadharani lakini huyu waziri aliweka heshima mbele
Hivi waziri hana mamlaka ya kuwajibisha askari wasiotii amri katika wizara yake? Kwa nini achague heshima kwa kuyanyamazia maovu?Watu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo.
Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa hasira. Hii ni tabia ya Mama ya kawaida ya kiburi kilicho pitiliza.
Polepole alitoa barua hadharani lakini huyu waziri aliweka heshima mbele
George hadurahishwi na zile drama za WU A U sema ndio hivyo tena, who is next Dorothy?Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa hasira. Hii ni tabia ya Mama ya kawaida ya kiburi kilicho pitiliza.
Polepole alitoa barua hadharani lakini huyu waziri aliweka heshima mbele
Ndio alituita Shitohole Kauntrii?Trump yupo sahihi sana
tafsiri rahis ya kujiuzulu ni kwamba hukubaliana na boss wako, umetofautiana au haukubalian na walio chn yako kwa hyo kulinda heshma yako unajiuzulu au unawajbika kwa makosa waliyofanya walio chn yako kwa hz nafasi za uteuzi, na kwa africa kujiuzulu inatafsiriwa kama dharau kwa mteuzi kama siyo uwajibikaji, anaweza asikufanyie figisu mteuzi ila ukafanyiwa na wengne, rejea ishu ya mayalla baada ya just kumuuliza swali la kikatiba jiwe.Kama ni kweli aliomba kujiuzulu kwa heshima(kimya kimya) sidhani kama watamuwekea vikwazo kwenye mambo yake tofauti na Polepole alijiuzulu kwa kuweka barua yake kwenye mitandao na kuonesha wazi kutokubaliana na mambo yanayoendelea.