Tetesi: Waziri wa Mambo ya Ndani (Simbachawene) yasemekana aliandika barua ya kujiuzulu

Kunapokosekana chain of command lazima shida itokee......Baadhi ya maofisa wa polisi wenye vyeo vya kawaida Wana nguvu kuliko waziri....yaani wanaripoti kwa mwenye nchi moja kwa moja
 
na ukweli ni huo huyu simba kajiuzuru maana kaona watu anaowasimamia hawamsikilizi kaona isiwe tabu
 
iran haishindwi labda wakatoliki ndio watashindwa
 
maccm ajiuzulu uwaziri?

acheni kumpa wema simbachawene

hakuna liccm lolote lilishawahi jiuzulu uwaziri nchi hii kuacha mwinyi na ni historia mpaka leo

yaani watz tunajisahaulisha mno......liccm lolote lijiuzulu waziri?NEVER

hawajaelewana kwenye mawizi yao wakatimuana

acheni kumpa utakatifu jizi jingine liccm hapa

acheni ujinga kabisa
 
Happy new year Mkuu
 
Appointments zenyewe zinafanyika kwa kufuata mchakato wa kipumbavu. Mtu anateuliwa bila hata kuulizwa (kama yuko interested) na kuwa subjected to an interview of some sort. Vetting (if any) inafanyika kwa usiri mkubwa, unnecessarily. A Presidential appointment shouldn’t be a 100% surprise to the appointee! Sio kila mtu anataka uteuzi fulani.
 
za kupotea mtoto mzuri?

happy new year too!

hela tu ndio zinaleta kiburi,ngoja kwanza nishapata formula yake,subiri uone..hahahahaa
Nigawie na mimi hiyo formula Mkuu,
Siku zinakatika bado sina hela.

Ccm hawataki kabisa tuje Jf tufurahi
Wameifungia Jf, hadi tutumie VPN.
 
Eti katambi Hivi muhuni na Malaya naye anaweza kuwa waziri Tena wa wiza nyeti Mambo ya ndani?


Imagine eti bashite aliyevamia clouds anakuwa waziri wa kusimamia Uhuru wa Habari duh

Tuna nchi ya kipumbavu Sana kwa sasa

Trump yupo sahihi sana
Katambi kwa mademu ni nomaa waulize kina mzee wanamjua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…