Waziri wa Mambo ya Nje Tanzania kazini, asema Tanzania na Mozambique wameshirikiana kuleta amani Gabo Delgado

Wewe mmatumbi unaweza kuwa Waziri wa afya Zanzibar.
 
Wewe mmatumbi unaweza kuwa Waziri wa afya Zanzibar.
Katiba ya Zanzibar sidhani kama Ina kipengele hiki cha mtu wa asili ya Tanganyika kushika wadhifa kule. Kama kipo nitakuwa, Mkuu.
 
Kiswahili ni lingua franca.

Nadhani ndo kitu pekee kinachotuunganisha Watanzania wa makabila mbalimbali.

Wangapi Tanzania hawakijui Kiswahili?

lkn hilo lilipaswa kuwa self explanatory, au? kuna haja/umuhimu wa kila kiongozi kusema hivyo swahili is our national language? inaongeza nini? au inawapa competitive edge yoyote ile popote pale? sijaelewa hiyo logic yao, maana kila kiongozi mtanzania husema hivyo ni kama vile imeandikwa mahali waseme hivyo na the irony ni kwamba hata kiswahili chenyewe wanakichukia na wako ashamed nacho …
 
...irony ni kwamba hata kiswahili chenyewe wanakichukia na wako ashamed nacho …
Kiswahili kinahujumiwa na wale wanaojiita magwiji wa kiswahili. Hasa nyakati hizi ya usasa wa kiteknolojia. Wanabuni maneno ya kuelezea au kutambua teknolojia za kisiasa kwa kutumia maneno yasiyo na mvuto, kisa wanasema katika Kila nyanja lazima kuonyesha upekee wa lugha yake. Kwamba lugha ya kifizikia ya kiswahili haitakiwi kuwa lugha sawa na lugha za wanaotumia kiswahili cha kawaida!!! Hii kanuni inakigharimu kiswahili.
 
Na huyu wa sasa Je, au unataka kumaanisha 2030
Nina maana ya sasa. Aanze mazoezi tuone uwezo wake ulivyo kabla ya kumpa hiyo 2025. Huyu wa sasa hata kesho akiondoka kwa kuachia ngazi atajijengea sifa nzuri kwa kuchukua uamuzi huo.
 
Tusifanyie mambo kwa hisia, leta Sheria, regulations ama sera ama kipengele cha katiba kinachounga Mkono hoja yako hii ya kuwabagua wenzetu!!!
Kwa vile umesema "Povu Ruksa": mimi nakupa povu hili. Nionyeshe kipengele chochote cha Katiba ya Muungano inayo sema Zanzibar ni nchi kamili. Ukinipa hilo, tutaanzia hapo kujadili haya mengine ya mawaziri.
 
Huyu ndo waziri wetu wa mambo ya nchi za nje hivi sasa, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akiwa kikazi huko Afrika Kusini alipofanya mahojiano na runinga ya SABC.

Toa tathmini yako. Kafanya vizuri au kaharibu?

View attachment 3120463
Rwanda's role must be carefully guarded by the parties in Mozambingue because as the policy of Mr. Kagame and his country has manifested itself like what has happened in DRC, Rwanda is only interested in its objective of using its military for economic aggrandizement like exploitation of minerals of neighbors as they are doing in DRC. If this happens the security problem in northen Mozambigue will not come to end.
 
Kwa kuwa Raisi ni wa Zanzibar ni lazima ataweka watu anowaamini na hapo kwa Kombo amemwamini baada ya sakata la Kenya kufungua jengo.

NI wizara ya fedha pekee ambayo nadhani Mwigulu amevumiliwa kwa muda huu.
 
Huyu ndo waziri wetu wa mambo ya nchi za nje hivi sasa, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akiwa kikazi huko Afrika Kusini alipofanya mahojiano na runinga ya SABC.

Toa tathmini yako. Kafanya vizuri au kaharibu?

View attachment 3120463
Ni fursa kwake kujiweka uzuri na kuandaa mazingira ya utendaji wake wa kazi hapo wizarani.

Ni hatua mojawapo twasema "you set or rearange the rules of etiquette".

Ila ni "diplomat" mzuri na aonekana afaa kwa masuala mazito ya huko mbele, khasa kutengeneza kauli za kurekebisha taswira mbaya inojengwa sasa hivi dhidi ya nchi.
 
That would be the task for intel chiefs to analyse and sharing intel information about Rwanda activities around the region of Maziwa Makuu.

Not spending too much time and resources on petty issues.
 
Tunazo katiba mbili, Ile ya JMT na ya SMZ. Nitumie ipi?
Hapo sasa!

Ukitumia ya JMT utaambiwa hiyo ni moja ya "kero" zinazo hitaji kurekebishwa.
Kwa hiyo, kwa uvumilivu tulio nao waTanzania itabidi tutumie ile ya SMZ kusiwepo na kelele nyingi za kero.
 
Inawezekana anajua mengi.
Lakin kwenye hiyo interview kaongea vitu common kabisa , very average ambapo mimi sijaona anything extra ordinary.
Kaongea basics kabisaaaaaaa.

Anaongea normal english but fluent.
Yupo poa sio kama kina Jenista mhagama na shoga yake prof. Ndalichako
 
I can guarantee you, these words won't be received kindly by Kagame and I am astonished by the Minister being so direct in stating the fact.
But to be fair to Kagame on this one; as opposed to the situation in the DRC, Rwanda's troops were invited by the Mozambicans after everyone else, including Tanzania had shown no interest in helping out on the worsening situation..

Kagame is projecting disproportionate power he does not have; dreams of making Rwanda an African Israel in the Great Lakes Region.

Our Minister must be mindful of what was promised to Jakaya Kikwete, lest he becomes the next target.
 
Unata
Kwa hiyo mkuu ✈️kwako kawaida sana mpka unamiliki lain mbili na zote zipo active 😃😃😃 mitano tena kwa mama,
 
Yaani yanakera sana
Kila Dr samia Dr samia
Kama majinga
 
That would be the task for intel chiefs to analyse and sharing intel information about Rwanda activities around the region of Maziwa Makuu.

Not spending too much time and resources on petty issues.
You think this alert is a petty issue? ..You must be a munyarwanda tutsi to see that as a petty issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…