GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Wewe hii ID yako ni ya Kweli nikimaanisha ni Verified One? Juha na Mnafiki mkubwa Wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hii ID yako ni ya Kweli nikimaanisha ni Verified One? Juha na Mnafiki mkubwa Wewe.
Mbona kwa Uandishi wako huu wa 'Kuhara' Wewe ndiyo unaonekana hauko sawa kabisa Kichwani?Kumbe huyu mtu hazimtoshii, niilikuwa nahangaika bure tu kusoma nakufikiria threads zake.. najiuliza huyu jamaa Yuko sawa kweliii!??
Haya bhn mungu hakosei!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona simba alifungwa goli na de agosto na likakataliwa?Ila yanga bwana unacheza home goli la mayele la offside linakataliwaje? Kama hiyo haitoshi yule captain kafanya foul ilistahili yellow ya pili wachezaji baadala ya kumzonga refa wanakenua meno tuu. Wamejitakia wenyewe kufungwa.
Haji Manara alishasema wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Watatu tu 1. Rais Mstaafu Kikwete, 2. Mama Karume na 3. Baba yake Mzazi Sunday Manara na wengine Wote waliobakia hawana Akili.Mbona simba alifungwa goli na de agosto na likakataliwa?
Ata roma haikujengwa siku moja mkuu[emoji1787][emoji1787]Ila yanga bwana unacheza home goli la mayele la offside linakataliwaje? Kama hiyo haitoshi yule captain kafanya foul ilistahili yellow ya pili wachezaji baadala ya kumzonga refa wanakenua meno tuu. Wamejitakia wenyewe kufungwa.
na Al Hilal usimsahau.mbona inajulikana ukiacha simba oponent mwingine wa yanga ni tff
Chizi huyo tushamzoeaPia uwe na Heshima unapo Address kiongozi. Nadhani hajakosea sehemu.
Hater'sHuyo mkwe anapwaya kila anapopelekwa, iko siku ataagiza timu zinazofanya vibaya mashindano ya kimataifa zitandikwe viboko.
hawezi kazi anabebwaa tu ni suala la muda FIFA watashusha rungu sababu ya mipapara yakeHuyo mkwe anapwaya kila anapopelekwa, iko siku ataagiza timu zinazofanya vibaya mashindano ya kimataifa zitandikwe viboko.
Taahira Wewe tumeshakuzoea.Chizi huyo tushamzoea
Ushahidi huu hapa baada ya huyu jamaa kutoa uharo wake kule IG hakuna hata kiongozi aliekemea hili swalaViongozi hawapaswi kuwa Bias kwa timu moja.
Wakati Simba inaanaza kufurukuta Kimataifa, wadau wa Yanga walikuwa wakizikarimu sana timu ngeni wapinzani wa Simba. Viongozi walikaa kimyaa kama hawaoni.
Ushahidi upo kwanye mitandao.
Yanga inapoingina na baadhi ya washabiki wa Simba wanalipa kwa kushangilia timu pinzani wa Yanga viongozi wanajitokeza na kusisitiza ushirikiano.
Walikuwa wapi wakati ule wageni wa Simba wanakarimiwa kwa bashasha na kuambiwa Simba inatilia sumu wapinzani hadi kufikia kuogopa kuinginga katika vyumba vyao na kuvalia jezi nje ya vyumba.
Madactari wa CAF walikuwepo na hawakuona chochote.
Wadau wa Yanga waliifanyi vibaya sana Simba.
Leo watoto wa Serikali Yanga wanaanza kuona joto ya jiwe la kimataifa viongozi wanajitokeza na kutoa matamko ya kulazimisha kusapoti Yanga.
Kwa sisi wadau wa Simba tunaona huu ni upendeleo wa wazi kabisa kwa timu yao ya taifa.
Sisi tunasema shauri yao na timu lao la serikali.
Simba ni watoto yatima na tunapambana kiyatima yatima hivyo hivyo.
Kifupi wadau wa yanga wana roho mbaya sana. Na wanategemea vyombo vya dola kuwadekeza.
Hivi wewe ni msemaji wa TFF, au ni kiherehere tu na kimbelembele ndiyo kinacho kusumbua?Wewe ni Waziri mwenye chuki sana na uongozi wa TFF na una wivu wa kishamba na Simba SC kutokana na mafanikio yake, hasa kimataifa dhidi ya timu yako unayoishabikia mno ya Yanga SC.
Leo katika hafla ya kuwopongeza Tembo Warriors umetoa kauli kuwa TFF isiwe inabagua kutoa ushauri kwa vilabu vya Tanzania vinavyoshiriki michuano ya kimataifa, ukimaanisha kuwa TFF inaisaidia sana Simba SC kiushauri ila Yanga SC yako inatengwa pengine ndiyo maana juzi haikufanya vyema na kutoka sare na Al Hilal FC kwa Mkapa.
Waziri wa Michezo Mchengerwa mimi GENTAMYCINE nakuuliza hivi, Yanga SC juzi ingeshinda dhidi ya Al Hilal FC ya Sudan hizi hasira zako na mapovu yako ya leo ungeyatoa?
Wewe ni Waziri wa hovyo wa michezo kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania tokea uhuru na sikukubali kabisa kwani huna uwezo na hiyo Wizara na hujui lolote pia.
Wewe mbona ni rais wa mapopoma yote duniani na mbinguni! Lakini tunakuheshimu humu jukwaani?Huyo Kiongozi akiwa Mpumbavu ( Fool ) kamwe usitegemee kuona Mimi GENTAMYCINE nikimheshimu sawa?
Mimi ni GENTAMYCINE Genius la Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi halafu nimebarikiwa na Mwenyezi Mungu kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na niliye na 'Natural Charm' ya Ajabu inayonifanya kila 24/7 niwe Kivutio kwa Wanaonipenda na Majuha Wasionipenda kama Wewe na Wengineo.Hivi wewe ni msemaji wa TFF, au ni kiherehere tu na kimbelembele ndiyo kinacho kusumbua?
Huwa sina Kawaida ya Kumheshimu Mtu Mpumbavu ( Popoma ) kama Wewe na huyo mwenye Dhamana katika "Docket' aliyoko.Wewe mbona ni rais wa mapopoma yote duniani na mbinguni! Lakini tunakuheshimu humu jukwaani?
Kwa nini na wewe humheshimu Waziri wako mwenye dhamana ya michezo kwa kusema kwake ukweli kuhusu hao wahuni wachache waliopo pale TFF?
Ndio nakuona hapa jukwaani kubwa la maaduiKama GENTAMYCINE huwa namchana 'live' hapa hapa Mama Mkwe Wake ( Mheshimiwa Rais Samia ) ndiyo nishindwe Kumkaanga ( Kumsiliba ) huyo Mkwewe Waziri wa Michezo Mchengerwa?
Hvi unanijua vyema au unanisikia tu?
Huyu waziri alipatia Sana alipo kuwa utumishi wizaraniHuyo mkwe anapwaya kila anapopelekwa, iko siku ataagiza timu zinazofanya vibaya mashindano ya kimataifa zitandikwe viboko.