goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Ukiona matola amemdharau mtu Basi ujue Ni dhairi shairi kuwa hazimoHivi wewe ni msemaji wa TFF, au ni kiherehere tu na kimbelembele ndiyo kinacho kusumbua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona matola amemdharau mtu Basi ujue Ni dhairi shairi kuwa hazimoHivi wewe ni msemaji wa TFF, au ni kiherehere tu na kimbelembele ndiyo kinacho kusumbua?
Hili tukio la foul ya pili halionhelewi kabisa hata na Wachambuzi wa mchongo. Nikisema Tanzania Hakuna wachambuzi nieleweke sina chuki na makanjanja. Ni sahihi Faulo aliyofanya dhidi ya Morrison alipaswa kupewa yellow card ya pili.Ila yanga bwana unacheza home goli la mayele la offside linakataliwaje? Kama hiyo haitoshi yule captain kafanya foul ilistahili yellow ya pili wachezaji baadala ya kumzonga refa wanakenua meno tuu. Wamejitakia wenyewe kufungwa.
Je huyo huyo kapteni faulo ya kwanza aliyopewa kadi ilikuwa halali ?Hili tukio la foul ya pili halionhelewi kabisa hata na Wachambuzi wa mchongo. Nikisema Tanzania Hakuna wachambuzi nieleweke sina chuki na makanjanja. Ni sahihi Faulo aliyofanya dhidi ya Morrison alipaswa kupewa yellow card ya pili.
Kumbe huyu mtu hazimtoshii, niilikuwa nahangaika bure tu kusoma nakufikiria threads zake.. najiuliza huyu jamaa Yuko sawa kweliii!??
Haya bhn mungu hakosei!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujapanua.Mbona unahangaika?
Huyu waziri hovess kabisa!Kumbe naye yumo kwenye kundi alilosema mzungu pori?Wewe ni Waziri mwenye chuki sana na uongozi wa TFF na una wivu wa kishamba na Simba SC kutokana na mafanikio yake, hasa kimataifa dhidi ya timu yako unayoishabikia mno ya Yanga SC.
Leo katika hafla ya kuwopongeza Tembo Warriors umetoa kauli kuwa TFF isiwe inabagua kutoa ushauri kwa vilabu vya Tanzania vinavyoshiriki michuano ya kimataifa, ukimaanisha kuwa TFF inaisaidia sana Simba SC kiushauri ila Yanga SC yako inatengwa pengine ndiyo maana juzi haikufanya vyema na kutoka sare na Al Hilal FC kwa Mkapa.
Waziri wa Michezo Mchengerwa mimi GENTAMYCINE nakuuliza hivi, Yanga SC juzi ingeshinda dhidi ya Al Hilal FC ya Sudan hizi hasira zako na mapovu yako ya leo ungeyatoa?
Wewe ni Waziri wa hovyo wa michezo kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania tokea uhuru na sikukubali kabisa kwani huna uwezo na hiyo Wizara na hujui lolote pia.
Mrembo mbona hunijibu Pm zangu?Huyu waziri alipatia Sana alipo kuwa utumishi wizarani
Anayekupa Mimba kila mwaka mkiwa nae Chumbani katika 'Mbaiolojiano' huwa hakuhemei kwa Hasira?Post za GENTA huwa zinaandikwa akiwa anahema sana kwa hasira
Wewe wa SAUT biolojia utaijulia wapi,yako ni makiswahil na mahistory ambayo ulikuwa unajisomea hata ukiwa gizaniAnayekupa Mimba kila mwaka mkiwa nae Chumbani katika 'Mbaiolojiano' huwa hakuhemei kwa Hasira?
Bandiko limemfikiaWewe ni Waziri mwenye chuki sana na uongozi wa TFF na una wivu wa kishamba na Simba SC kutokana na mafanikio yake, hasa kimataifa dhidi ya timu yako unayoishabikia mno ya Yanga SC.
Leo katika hafla ya kuwopongeza Tembo Warriors umetoa kauli kuwa TFF isiwe inabagua kutoa ushauri kwa vilabu vya Tanzania vinavyoshiriki michuano ya kimataifa, ukimaanisha kuwa TFF inaisaidia sana Simba SC kiushauri ila Yanga SC yako inatengwa pengine ndiyo maana juzi haikufanya vyema na kutoka sare na Al Hilal FC kwa Mkapa.
Waziri wa Michezo Mchengerwa mimi GENTAMYCINE nakuuliza hivi, Yanga SC juzi ingeshinda dhidi ya Al Hilal FC ya Sudan hizi hasira zako na mapovu yako ya leo ungeyatoa?
Wewe ni Waziri wa hovyo wa michezo kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania tokea uhuru na sikukubali kabisa kwani huna uwezo na hiyo Wizara na hujui lolote pia.
Sasa hata wakionyesha hao wachambuzi itabadilisha nini?Hili tukio la foul ya pili halionhelewi kabisa hata na Wachambuzi wa mchongo. Nikisema Tanzania Hakuna wachambuzi nieleweke sina chuki na makanjanja. Ni sahihi Faulo aliyofanya dhidi ya Morrison alipaswa kupewa yellow card ya pili.
Watu wanamfokea Rais itakuwa mkwe? Kama hajielewi atafokewa tuMmh ! unamfokea mkwe wa Rais aise kweli unawazimu wew siyo bure
Asante Mkuu.Bandiko limemfikia
Kwa hawa wakongo wa yanga Kuifunga el hilal ni kumharibia kazi mkongomani mwenzao IbengeGame tunashinda wajameniwale hawana mpira wa kutuzidi..si sote tuliona?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mlishinda kule Sudan?Kwa hawa wakongo wa yanga Kuifunga el hilal ni kumharibia kazi mkongomani mwenzao Ibenge
Isitoshe Ibenge alikuwa kocha wao walipokuwa AS Vita
Kwa maana hiyo hao wachezaji watafanya figisu yanga ishindwe mechi ya marudiano