Waziri wa Michezo Mchengerwa, Yanga SC ingeifunga Al Hilal FC juzi haya 'Mapovu' yako ya leo ungeyatoa?

Ila yanga bwana unacheza home goli la mayele la offside linakataliwaje? Kama hiyo haitoshi yule captain kafanya foul ilistahili yellow ya pili wachezaji baadala ya kumzonga refa wanakenua meno tuu. Wamejitakia wenyewe kufungwa.
Mbona simba alifungwa goli na de agosto na likakataliwa?
 
Mbona simba alifungwa goli na de agosto na likakataliwa?
Haji Manara alishasema wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Watatu tu 1. Rais Mstaafu Kikwete, 2. Mama Karume na 3. Baba yake Mzazi Sunday Manara na wengine Wote waliobakia hawana Akili.

Pia aliyekuwa Kocha Wao Mkuu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliwahi kusema ( ipo YouTube ) kuwa wana Yanga SC wote ni kama Nyani, Mbwa na Sokwe.

Hivyo basi sioni haha ya Wewe kuwashangaa au hata Kuhangaika nao Mkuu kwani tayari akina Haji Manara ( sasa Mhamasishaji Wao Mkuu Yanga SC ) na Luc Eymael ( aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wao ) wameshatuambia Madhaifu yao.
 
Ila yanga bwana unacheza home goli la mayele la offside linakataliwaje? Kama hiyo haitoshi yule captain kafanya foul ilistahili yellow ya pili wachezaji baadala ya kumzonga refa wanakenua meno tuu. Wamejitakia wenyewe kufungwa.
Ata roma haikujengwa siku moja mkuu[emoji1787][emoji1787]
 
Viongozi hawapaswi kuwa Bias kwa timu moja.

Wakati Simba inaanaza kufurukuta Kimataifa, wadau wa Yanga walikuwa wakizikarimu sana timu ngeni wapinzani wa Simba. Viongozi walikaa kimyaa kama hawaoni.

Ushahidi upo kwanye mitandao.

Yanga inapoingina na baadhi ya washabiki wa Simba wanalipa kwa kushangilia timu pinzani wa Yanga viongozi wanajitokeza na kusisitiza ushirikiano.

Walikuwa wapi wakati ule wageni wa Simba wanakarimiwa kwa bashasha na kuambiwa Simba inatilia sumu wapinzani hadi kufikia kuogopa kuinginga katika vyumba vyao na kuvalia jezi nje ya vyumba.

Madactari wa CAF walikuwepo na hawakuona chochote.

Wadau wa Yanga waliifanyi vibaya sana Simba.

Leo watoto wa Serikali Yanga wanaanza kuona joto ya jiwe la kimataifa viongozi wanajitokeza na kutoa matamko ya kulazimisha kusapoti Yanga.

Kwa sisi wadau wa Simba tunaona huu ni upendeleo wa wazi kabisa kwa timu yao ya taifa.

Sisi tunasema shauri yao na timu lao la serikali.

Simba ni watoto yatima na tunapambana kiyatima yatima hivyo hivyo.

Kifupi wadau wa yanga wana roho mbaya sana. Na wanategemea vyombo vya dola kuwadekeza.
 
Huyo mkwe anapwaya kila anapopelekwa, iko siku ataagiza timu zinazofanya vibaya mashindano ya kimataifa zitandikwe viboko.
 
Ushahidi huu hapa baada ya huyu jamaa kutoa uharo wake kule IG hakuna hata kiongozi aliekemea hili swala
 

Attachments

  • 087E91DA-A541-488C-8C70-A0B83EEE843A.jpeg
    50.8 KB · Views: 5
Hivi wewe ni msemaji wa TFF, au ni kiherehere tu na kimbelembele ndiyo kinacho kusumbua?
 
Huyo Kiongozi akiwa Mpumbavu ( Fool ) kamwe usitegemee kuona Mimi GENTAMYCINE nikimheshimu sawa?
Wewe mbona ni rais wa mapopoma yote duniani na mbinguni! Lakini tunakuheshimu humu jukwaani?

Kwa nini na wewe humheshimu Waziri wako mwenye dhamana ya michezo kwa kusema kwake ukweli kuhusu hao wahuni wachache waliopo pale TFF?
 
Hivi wewe ni msemaji wa TFF, au ni kiherehere tu na kimbelembele ndiyo kinacho kusumbua?
Mimi ni GENTAMYCINE Genius la Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi halafu nimebarikiwa na Mwenyezi Mungu kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na niliye na 'Natural Charm' ya Ajabu inayonifanya kila 24/7 niwe Kivutio kwa Wanaonipenda na Majuha Wasionipenda kama Wewe na Wengineo.
 
Wewe mbona ni rais wa mapopoma yote duniani na mbinguni! Lakini tunakuheshimu humu jukwaani?

Kwa nini na wewe humheshimu Waziri wako mwenye dhamana ya michezo kwa kusema kwake ukweli kuhusu hao wahuni wachache waliopo pale TFF?
Huwa sina Kawaida ya Kumheshimu Mtu Mpumbavu ( Popoma ) kama Wewe na huyo mwenye Dhamana katika "Docket' aliyoko.
 
Kama GENTAMYCINE huwa namchana 'live' hapa hapa Mama Mkwe Wake ( Mheshimiwa Rais Samia ) ndiyo nishindwe Kumkaanga ( Kumsiliba ) huyo Mkwewe Waziri wa Michezo Mchengerwa?

Hvi unanijua vyema au unanisikia tu?
Ndio nakuona hapa jukwaani kubwa la maadui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…