Waziri wa Michezo na Waziri wa Ushirikiano wa kimataifa wametoa tamko lolote kuhusu kilichojiri Madagascar?

Waziri atoe tamko gani, na hata akitoa ni kama furahisha genge. Hayo waliyofanyiwa stars huko, cdm huwa wanafanyiwa hapa nyumbani kila mara na polisi. Atoe tamko tumueleze ukweli wake kuwa atoe kwanza boriti kwenye jicho lake.
 
Hoja yangu ni fupi na imelenga mada moja kwa moja.
TUTAFAKARI
Ishu za football kwa mujibu wa FIFA huishia hukohuko kwenye soka,wewe mcheza baikoko huwezi jua haya

USSR
 
Nimepitwa na kilicho jiri huko, ila kwa malalamiko ya mdau sijui kama mambo yemalizika salama, isiwe tu kuna mtu kasha bambikiwa huko.
 
Ishu za football kwa mujibu wa FIFA huishia hukohuko kwenye soka,wewe mcheza baikoko huwezi jua haya

USSR
unajua ni aspects zipi zinaingiliwa au kutoingiliwa na Serikali?
wewe football umeijulie kwenye uchambuzi wa Dr Lili Mohamed mimi nimecheza soka
 
Waziri atoe tamko gani, na hata akitoa ni kama furahisha genge. Hayo waliyofanyiwa stars huko, cdm huwa wanafanyiwa hapa nyumbani kila mara na polisi. Atoe tamko tumueleze ukweli wake kuwa atoe kwanza boriti kwenye jicho lake.
Kuna wachezaji waliotakiwa kuwa detained!meaning kuna criminal offence.
 
unajua ni aspects zipi zinaingiliwa au kutoingiliwa na Serikali?
wewe football umeijulie kwenye uchambuzi wa Dr Lili Mohamed mimi nimecheza soka

Hata vyombo vya dola hapa nchini haviruhusiwi kujihusisha na siasa, lakini inafanyika hivyo?
 
Waziri kachukulia easy kwasababu hii ni kama tu mnavyotumia wanajeshi wetu kuiba kura.
 
Waziri atoe tamko gani, na hata akitoa ni kama furahisha genge. Hayo waliyofanyiwa stars huko, cdm huwa wanafanyiwa hapa nyumbani kila mara na polisi. Atoe tamko tumueleze ukweli wake kuwa atoe kwanza boriti kwenye jicho lake.
Mtenda akitendewa daima aone ameonewa tena atalia kwa sauti kuu.
 
Hoja yangu ni fupi na imelenga mada moja kwa moja.

TUTAFAKARI
Dawa ya moto ni moto maana mmezoea kuwatendea huo unyama wana cdm.

Sasa heri mmeonja radha ya kunyanyaswa
 
unajua ni aspects zipi zinaingiliwa au kutoingiliwa na Serikali?
wewe football umeijulie kwenye uchambuzi wa Dr Lili Mohamed mimi nimecheza soka
Jingalao utabakia kuwa jingalao na utaendelea kuwa mkuu wa majinga
 
Hata vyombo vya dola hapa nchini haviruhusiwi kujihusisha na siasa, lakini inafanyika hivyo?
Hata vyombo vya dola vyenye silaha za moto hawaruhusiwi kuingilia ibada lkn bado wanafanya hivyo.
 
Hoja yangu ni fupi na imelenga mada moja kwa moja.

TUTAFAKARI
Natamani tamko kali lingetolewa hata na Waziri mkuu.
Nchi hii ina viongozi waoga sana, yaani mimi ningeionya Madagascar kwa tamko kali vibaya mno.
 
S kuonya tu angetakiwa ata baloz wao anaitwa Kama Hakuna baloz rais au wazir mkuu wanatakuwa wachimbe mkwara ili wengine wasiige wakafanya
 
Back
Top Bottom