Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishu za football kwa mujibu wa FIFA huishia hukohuko kwenye soka,wewe mcheza baikoko huwezi jua hayaHoja yangu ni fupi na imelenga mada moja kwa moja.
TUTAFAKARI
Nimepitwa na kilicho jiri huko, ila kwa malalamiko ya mdau sijui kama mambo yemalizika salama, isiwe tu kuna mtu kasha bambikiwa huko.Waziri atoe tamko gani, na hata akitoa ni kama furahisha genge. Hayo waliyofanyiwa stars huko, cdm huwa wanafanyiwa hapa nyumbani kila mara na polisi. Atoe tamko tumueleze ukweli wake kuwa atoe kwanza boriti kwenye jicho lake.
unajua ni aspects zipi zinaingiliwa au kutoingiliwa na Serikali?Ishu za football kwa mujibu wa FIFA huishia hukohuko kwenye soka,wewe mcheza baikoko huwezi jua haya
USSR
Kuna wachezaji waliotakiwa kuwa detained!meaning kuna criminal offence.Waziri atoe tamko gani, na hata akitoa ni kama furahisha genge. Hayo waliyofanyiwa stars huko, cdm huwa wanafanyiwa hapa nyumbani kila mara na polisi. Atoe tamko tumueleze ukweli wake kuwa atoe kwanza boriti kwenye jicho lake.
Hahahaaaa.......!Ishu za football kwa mujibu wa FIFA huishia hukohuko kwenye soka,wewe mcheza baikoko huwezi jua haya
USSR
unajua ni aspects zipi zinaingiliwa au kutoingiliwa na Serikali?
wewe football umeijulie kwenye uchambuzi wa Dr Lili Mohamed mimi nimecheza soka
Kuna wachezaji waliotakiwa kuwa detained!meaning kuna criminal offence.
Mtenda akitendewa daima aone ameonewa tena atalia kwa sauti kuu.Waziri atoe tamko gani, na hata akitoa ni kama furahisha genge. Hayo waliyofanyiwa stars huko, cdm huwa wanafanyiwa hapa nyumbani kila mara na polisi. Atoe tamko tumueleze ukweli wake kuwa atoe kwanza boriti kwenye jicho lake.
Dawa ya moto ni moto maana mmezoea kuwatendea huo unyama wana cdm.Hoja yangu ni fupi na imelenga mada moja kwa moja.
TUTAFAKARI
Jingalao utabakia kuwa jingalao na utaendelea kuwa mkuu wa majingaunajua ni aspects zipi zinaingiliwa au kutoingiliwa na Serikali?
wewe football umeijulie kwenye uchambuzi wa Dr Lili Mohamed mimi nimecheza soka
Wacha kupotosha wewe mzembe wa lughaKuna wachezaji waliotakiwa kuwa detained!meaning kuna criminal offence.
Hata vyombo vya dola vyenye silaha za moto hawaruhusiwi kuingilia ibada lkn bado wanafanya hivyo.Hata vyombo vya dola hapa nchini haviruhusiwi kujihusisha na siasa, lakini inafanyika hivyo?
No one!!!Who cares?
Hata kuvamia kwenye nyumba za ibada kisa kuna wana cdm.Waziri kachulia easy kwasababu hii ni kama tu mnavyotumia wanajeshi yetu kuiba kura.
Natamani tamko kali lingetolewa hata na Waziri mkuu.Hoja yangu ni fupi na imelenga mada moja kwa moja.
TUTAFAKARI
Exactly.Hata vyombo vya dola vyenye silaha za moto hawaruhusiwi kuingilia ibada lkn bado wanafanya hivyo.