Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Hoja yangu ni fupi na imelenga mada moja kwa moja.
TUTAFAKARI
Jinga katika ubora wako...!!
Hivi wakitoa tamko ndio stars watafuzu world cup?
Haya matamko imekuwa ni fashion tu, hayana impact yoyote!
Then ishu za FIFA na serikali wapi na wapi...!? Acha uzoba wewe!!