Waziri wa Nishati sio mbunifu kutuondoa kwenye matatizo yanayosababishwa na umeme. Hajui nchini kuna Uraniun?

Waziri wa Nishati sio mbunifu kutuondoa kwenye matatizo yanayosababishwa na umeme. Hajui nchini kuna Uraniun?

Wewe Stress zako za Maisha yako usije kummalizia Raisi wetu mpendwa.

Nenda Chato kahiji kwenye kaburi.
Ndio ngonjera ya kishwain mliyobakiza. Lakini hamna hoja ya maana kujadili kwa muktadha wa taifa lenu.

Mtakuja kupigwa mpaka mlowane.
 
kuihudumia hiyo nuclear reactor ni bajeti ya nchi nzima... Ni hatari, ikivuja kidogo tu, hewa yake itaangamiza taifa.
Mbona huko South Afrika hazivuji kama mvua? Kuvuja ni ajali tu ya bahati mbaya. Unataka kudanganya watu. Kuhudumia reactor sio gharama ya bajeti ya taifa letu.
 
Mbona huko South Afrika hazivuji kama mvua? Kuvuja ni ajali tu ya bahati mbaya. Unataka kudanganya watu. Kuhudumia reactor sio gharama ya bajeti ya taifa letu.
Hivi unafananisha South Africa na Tanzania kweli? Acha masihara wewe...Nuclear sio mchezo...
 
Back
Top Bottom