The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
🚮🚮🚮Sasa kama hujui kusoma na kuelewa kwa nini unasumbua wenye akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🚮🚮🚮Sasa kama hujui kusoma na kuelewa kwa nini unasumbua wenye akili.
Acha kudandia mada ze wenye akili na wasomi🚮🚮🚮
🚮🚮Acha kudandia mada ze wenye akili na wasomi
Vyoo vya Shule tunajengewa kwa msaada wa Watu wa Marekani, Nuclear Reactors?!Hatuwezi kujenga nuclear plant?
Huyo jamaa kila kitu kanamlaumu Mama kanaboa sana.Mburula huwezi kuwa na hoja,utaishia kutukana kama hayawani..
Mbona mzee baba alijiyosa mradi wa JNHP tril 7+Vyoo vya Shule tunajengewa kwa msaada wa Watu wa Marekani Nuclear Reactors?!
We pimbi nini? Unajua maana ya kulaumu.Huyo jamaa kila kitu anamlaumu Mama anaboa sana.
haiwezekani.Hatuwezi kujenga nuclear plant?
Wewe Stress zako za Maisha yako usije kummalizia Raisi wetu mpendwa.We pimbi nini? Unajua maana ya kulaumu.
Ndio ngonjera ya kishwain mliyobakiza. Lakini hamna hoja ya maana kujadili kwa muktadha wa taifa lenu.Wewe Stress zako za Maisha yako usije kummalizia Raisi wetu mpendwa.
Nenda Chato kahiji kwenye kaburi.
Kwani inagharimu kiasi gani?haiwezekani.
Mwache Samia Januari na Ridhiwani wachape kazi acha Nongwa.Ndio ngonjera ya kishwain mliyobakiza. Lakini hamna hoja ya maana kujadili kwa muktadha wa taifa lenu.
Mtakuja kupigwa mpaka mlowane.
kuihudumia hiyo nuclear reactor ni bajeti ya nchi nzima... Ni hatari, ikivuja kidogo tu, hewa yake itaangamiza taifa.Kwani inagharimu kiasi gani?
Acha ujinga. Hakuna nongwaMwache Samia Januari na Ridhiwani wachape kazi acha Nongwa.
Mbona huko South Afrika hazivuji kama mvua? Kuvuja ni ajali tu ya bahati mbaya. Unataka kudanganya watu. Kuhudumia reactor sio gharama ya bajeti ya taifa letu.kuihudumia hiyo nuclear reactor ni bajeti ya nchi nzima... Ni hatari, ikivuja kidogo tu, hewa yake itaangamiza taifa.
Mwache Samia apige kazi.Acha ujinga. Hakuna nongwa
Lazima tuseme kweli. Hatutaki uzembeMwache Samia apige kazi.
Mbona wakati wa Punguwani ulikuwa umeufyata mkia?Lazima tuseme kweli. Hatutaki uzembe
Sina muda kujadili ushuziMbona wakati wa Punguwani ulikuwa umeufyata mkia?
Hivi unafananisha South Africa na Tanzania kweli? Acha masihara wewe...Nuclear sio mchezo...Mbona huko South Afrika hazivuji kama mvua? Kuvuja ni ajali tu ya bahati mbaya. Unataka kudanganya watu. Kuhudumia reactor sio gharama ya bajeti ya taifa letu.