Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Samia ulimwambia hivyo pia?Usilete ujinga wako kwenye Mambo yanayogusa Hisia za Watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia ulimwambia hivyo pia?Usilete ujinga wako kwenye Mambo yanayogusa Hisia za Watu.
😀😀 sidhani mbatizaji akili zimozimo achana na huyo mwingine ni ng'ombe kabisajohnthebaptist na Lucas Mwashambwa ni akaunti moja?
Acha sifa za kijinga,wewe kusifia sifia ujinga tuuAcha roho ya kishetani na kichawi hapa.
Kwenye jibu nililokupa kuna sehemu nimeandika siyo maandiko matakatifu?Ha ha ha! Sasa kwani mabikira si maandiko matakatifu ndugu yangu
Kwani ya Kibao haikugusa hisia za watu?Usilete ujinga wako kwenye Mambo yanayogusa Hisia za Watu.
Hoja ya kipumbavu ila naomba niijibu kistaarabu!.Labda shetani naye katika kujitetea alirusha jiwe kwa huyo marehemu
Labda marehemu alipita karibu na anapoishi shetani akapigwa jiweHoja ya kipumbavu ila naomba niijibu kistaarabu!.
Moja ya tafauti zilizopo kati ya ibada ya Hijja na ibada ya Umra ni kwamba ibada ya Umra haina kipengele Cha kurusha mawe kule jamarati kipengele ambacho kipo katika ibada ya hijja peke yake!.
Mzee Mchengerwa alikuwa kwenye ibada ya Umra.
Kwa faida zaidi ni kwamba tofauti nyingine iliyopo kati ya ibada ya hijja na ibada ya umra ni kwamba ibada ya hijja imewekewa mwezi maalumu na tarehe maalumu.
Ibada ya hijja huanza tarehe nane ya mwezi wa Dhulhijja ( mwezi wa 12 kwa kalenda ya kiislamu ) tarehe hii huitwa siku ya tarwiya ( يوم التروية ) na mwisho ni tarehe 13 ya mwezi huo wa Dhulhijja siku ambayo pamoja na siku mbili zinazotangulia kabla yake huitwa masiku ya kubanika nyama
( أيام التشريق ) .
Ibada ya Umra haijawekewa tarehe wala mwezi maalumu na muislamu mwenye uwezo anaweza kufanya Ibada ya umra katika mwezi wowote anapopata nafasi na pia akitaka anaweza kuunganisha hijja na Umra katika kipindi cha ibada ya hijja na waislamu wengi hufanya hivi ili kupunguza gharama za kusafiri mara mbili!
Kwa Sasa tupo ndani ya mwezi wa shaabaan ambao ni mwezi wa 8 katika kalenda ya kiislamu.
SASA HAPA KUNA HISIA GANI?Usilete ujinga wako kwenye Mambo yanayogusa Hisia za Watu.
Bado huachi upumbavu tu?!Labda marehemu alipita karibu na anapoishi shetani akapigwa jiwe
Acha dharau😀😀 sidhani mbatizaji akili zimozimo achana na huyo mwingine ni ng'ombe kabisa
Kwenye jibu nililokupa kuna sehemu nimeandika siyo maandiko matakatifu?
Papa Francis kusema ndoa za mashoga zipewe baraka kanisani nae si katoa kwenye maandiko yenu matakatifu pia
all is possible!johnthebaptist na Lucas Mwashambwa ni akaunti moja?
Jiwe ni silaha binti yangu na huwa linauaBado huachi upumbavu tu?!
Mzee Mchengerwa hawezi uawa na jiwe Moja tu toka kwa shetani!. Yeye kafa kwa sababu siku aliyoandikiwa kuwa atakufa siku hiyo imefika ! .
Maswala ya kupigwa mawe hayana msingi wowote kwa kuwa Kuna watu wamewahi kupigwa hata risasi zaidi ya moja na bado walipona kwa kuwa siku waliyoandikiwa kuwa watakufa ilikuwa Bado haijafika!.
Why unamuataki hivyo wewe ndio lipumbavu unaiona nisawa Mzee kuzikwa ugenini mshenzi kabisa wewe huna adanukuficha
kuandika ujinga ujinga, lakini mwashamba siyo wewe......Tatizo Lako ni nini? 😄
Innallilah wainallilah rajuun hizi azijaweka mudaBaba yake Wazir wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, Alhaj Omary Mchengerwa amefariki leo Alfajiri akiwa kwenye Ibada ya Umrah huko Makkah.
Kwa mujibu wa taarifa ya Familia ya Mchengerwa, Mzee Omary atazikwa leo huko huko Makka.
Ifuatayo ni Ratiba ya Ibada ya Visomo vitakavyoongozwa na Mufti wa Tanzania Dkt Zuberi Bin Ali wa Mbwana nyumbani kwa Waziri Mchengerwa, Masaki Dar es Salaam.
LEO: TAREHE 24 FEBRUARI 2025
Dua ya Kisomo itafanyika nyumbani kwa Mhe. Mohamed Mchengerwa Masaki saa 10 Alasiri
KESHO TAREHE: 25 FEBRUARI 2025
Dua ya kisomo itafanyika Jimboni Rufiji
KESHO KUTWA TAREHE: 26 FEBRUARI 2025
Dua itafanyika nyumbani kwake Marehemu Alhaj Omary Mchengerwa Yombo.