Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
sidhani....Poleni sana family. Bila shaka anaenda peponi moja kwa moja maana amefia ibadani. Apumzike kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sidhani....Poleni sana family. Bila shaka anaenda peponi moja kwa moja maana amefia ibadani. Apumzike kwa amani
ila Qur'an kuna namna huwa inafikirisha, hao mabikra wanaopewa maana yake itataka wafanye nao ngono,,hivi kweli ndugu zangu wavaa kobaz mtaka kutuaminisha mbinguni mahali patakatifu itakuwa ni uwanja wa kugegedana tu tena kila mtu na mabikra wake 72?
Hakuna kitu kama hicho wwKweli kabisa ! Kufa katika ibada tukufu tena katika mji mtukufu ni alama ya mwisho mwema japo hatusemi ni kwenda peponi kwa 100%.
Kuna baadhi ya mambo hukumu yake ipo kwa Allaah anayejua mioyo ya waja wake inaamini na kufikiria nini!
Sisi tunahukumu yale tunayoyaona na yaliyomo kwenye mioyo tunamuachia Allaah mwenye uwezo wa kuchunguza mambo yenye kutendwa kwa siri na Yale yaliyomo kwenye mioyo ya waja.
Pamoja na hayo kama Kuna jambo la kionewa wivu mimi huyu marehemu namuonea wivu kwani na mimi natamani nifienkatika mji aliofia yeye nikifanya ibada aliyokuwa akiifanya yeye na hatimaye nizikwe katika mji huo mtakatifu.
Halafu Watu weusi hawapewi bikra 72 ni waarabu tuila Qur'an kuna namna huwa inafikirisha, hao mabikra wanaopewa maana yake itataka wafanye nao ngono,,hivi kweli ndugu zangu wavaa kobaz mtaka kutuaminisha mbinguni mahali patakatifu itakuwa ni uwanja wa kugegedana tu tena kila mtu na mabikra wake 72?
Apumzike kwa Amani mzee Mchengerwa.Baba yake Wazir wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, Alhaj Omary Mchengerwa amefariki leo Alfajiri akiwa kwenye Ibada ya Umrah huko Makkah.
Kwa mujibu wa taarifa ya Familia ya Mchengerwa, Mzee Omary atazikwa leo huko huko Makka.
Ifuatayo ni Ratiba ya Ibada ya Visomo vitakavyoongozwa na Mufti wa Tanzania Dkt Zuberi Bin Ali wa Mbwana nyumbani kwa Waziri Mchengerwa, Masaki Dar es Salaam.
LEO: TAREHE 24 FEBRUARI 2025
Dua ya Kisomo itafanyika nyumbani kwa Mhe. Mohamed Mchengerwa Masaki saa 10 Alasiri
KESHO TAREHE: 25 FEBRUARI 2025
Dua ya kisomo itafanyika Jimboni Rufiji
KESHO KUTWA TAREHE: 26 FEBRUARI 2025
Dua itafanyika nyumbani kwake Marehemu Alhaj Omary Mchengerwa Yombo.
Tena afadhali yake yeye hajauawa na watekaji wasiojulikana.KIFO NI KIFO TU KWA MUJIBU WA SAMIA
Makka ni Mji Mtakatifu kwa Waislamu wote na kila mmoja anatamani kuzikwa katika mji Ule.Kwa sababu amefia makka atazikwa hukohuko ila angefia kwengine angesafirishwa!! Duu hii ni hatari
Sasa kwann labda angekufa dar es salaam angepelekwa rufiji kuzikwa? Hoja ni kwamba hakuna utaratibu wowote katika dini ya kiislam wa kumsafirisha maiti isipokuwa ni waendeleza "uzushi" wa kuwa "akazikiwe nyumbani kwao" sasa mbona imekuja issue ya makka wamemzikia hukohuko? Sasa hujaona hapo bwn mwashambwa kuwa ni mila tu isiyo na tija yoyote zaidi ya upuuzi katika dini?Makka ni Mji Mtakatifu kwa Waislamu wote na kila mmoja anatamani kuzikwa katika mji Ule.