Tafsiri na kiongozi fisadi kwa China ni anayeleta ushindani kwa Xi. Hutakiwi kuwa maarufu wala kuwa mwema, unatakiwa kuwa chawa na ndio mzee. Tofauti na hapo unaitwa fisadi.
Waziri wa sheria aliposhindwa kusimamia mchakato wa kumuongezea Xi madaraka akapewa kesi kibao