Waziri wa Ulinzi China, Li Shangfu afutwa kazi

Waziri wa Ulinzi China, Li Shangfu afutwa kazi

Wacha Li awajibishwe.

Mafisadi hawana nafasi katika serikali ya China.
Tafsiri na kiongozi fisadi kwa China ni anayeleta ushindani kwa Xi. Hutakiwi kuwa maarufu wala kuwa mwema, unatakiwa kuwa chawa na ndio mzee. Tofauti na hapo unaitwa fisadi.

Waziri wa sheria aliposhindwa kusimamia mchakato wa kumuongezea Xi madaraka akapewa kesi kibao
 
Back
Top Bottom