Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Kwahiyo hiyo sababu ya kuwaita waandishi? Vipi wizara nyingine ratiba zao zipoje?mafanikio ya wizara hiyo katika kipindi cha miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Aprili 3, 2024 jijini Dodoma.
Mkuu rudi kwenye Picha zako, nenda edit, halafu gonga tena attach(sio ku- attach tena) ila kwenye picha kuna alama, ili zionekane vizuriMafanikio ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
π 03 Aprili, 2024.
π Dodoma