Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

Kwani hata akisema ni yeye amepigana mtafanyaje? Sioni hoja hapo.

Mbona wamesema walikuwa wamejiandaa kuwaokoa marubani wa Israel kama ingetokea shida, kwani vipi sasa?
 
Kwani hapa tunabishana nini?

Kwamba hakuna madhara?
Yaani madege mia moja ya kijeshi yashushe makombora kwa muda wa masaa matatu, halafu pasiwepo madhara?

Yaani hata wewe kwa akili yako tu ndogo ya kiislamu unaona hili linawezekana?
Kwanini lisiwezekane!?
Mbona siku za nyuma kabla ya 2023 makundi ya wanamgambo yalivyokua yanarusha maelfu ya maroketi Israel ilikua ikiyadungua yote na mkisifia!?
Kwanini Iran asiweze kuzuia hayo mashambulizi!?
Ana ADS ambazo ziko active home made na za Russia.
Kama kuna madhara tofauti na kufa kwa askari wanne tuonesheni.
Maana baada tu ya shambulio anga ilifunguliwa na shughuli zikaendelea kama kawaida.
BBC wapo Tehran na hawaja respond lolote.
 
Mwambie Iran arushe tena missiles zake tushuhudie urongo wa US.
Akirusha tena I see wanazaa nae, hata hivyo wamemsamehe, ilikuwa wapige vituo vya mafuta na kwny vinu vya nyuklia, US wakasema acheni kwanza.
 
Mwambie Iran arushe tena missiles zake tushuhudie urongo wa US.
Huwa haunaga hoja.
Kama USA vitisho vyake ni vya kweli angeanza na kuiadhibu Iran kwa kuanzia na ufadhili wa Iran kwa Hizbollah.
May alitisha Iran imelipua Israel,Oktoba ametisha na Iran imelipua tena.
Shida humu mmejazana balehe wengi kama wewe mnaongea mihemko badala ya fact.
 
Akirusha tena I see wanazaa nae, hata hivyo wamemsamehe, ilikuwa wapige vituo vya mafuta na kwny vinu vya nyuklia, US wakasema acheni kwanza.
Hivi hizi akili zenu huwa zina function vipi!?
Kama hao USA wana ubavu kweli na mwanae Israel wangeanza na kuiadhibu Iran kwa kufadhili mashambulizi ya Israel kupitia Hizbullah na Houthi pale red sea.
Tumieni akili sio mahaba.
Msiichukulie wepesi hivyo hiyo Iran.
Miezi kedekede Iran imesababisha shipping cost kupanda kwa kushambulia hapo red sea kupitia Houthi,je mbona USA ilimtisha Iran aache ufadhili kwa houthi na hajaacha!??
Shambulizi hilo tu la Oktoba Mosi hao USA walikua wanaongea hadi na Putin kufanya mediation na Iran wasifanye shambulizi.
 
Yaani madege yote yameondoka salama bila kudunguliwa baada ya kumaliza kazi, unataka kusema yalikuwa yanamis target?

Ulinzi wa anga ni kuzuia long range missiles na kudungua ndege, kama umeshindwa kuzuia madege yamefika sebuleni kwako, unazuiaje madhara?

Ni sawa na wewe uwe mwanamke, uliruhusu jamaa liingie chumbani kwako hadi kitandani, na wewe umeshavua nguo, halafu useme eti jamaa hajala mzigo, huo utakuwa ni uwongo.
 
Ripoti zinasema Israel imeshambulia kwa kutumia anga la Iraq na Syria.
Haikuingia anga la Iran.
Embu uwe mkweli acha ushabiki.
Unadhani anga la Iran ni jepesi kiasi hicho kuruhusu ndege ipite tu katika anga lake!?
Israel imeshambulia kutoka anga la jirani.
 
Haya basi sawa. Iran ana uwezo mkubwa wa kijeshi kuzidi marekani na Israel.

Maana mnanichosha tu kenge nyie.
 
Haya basi sawa. Iran ana uwezo mkubwa wa kijeshi kuzidi marekani na Israel.

Maana mnanichosha tu kenge nyie.
Hakuna anayekuchosha ila unajichosha mwenyewe.
Hakuna asiyejua USA ana jeshi kubwa na vifaa vingi kuliko Iran.
Ila usiichukulie kiwepesi Iran pia.
Hili hata mwenyewe USA analijua na analisemaga ndio maana hata vikwazo vya uundaji na uuzaji silaha na nuke ulivyoisha mwaka huu USA ilikataa kuondoa vikwazo ikidai Iran ikiachiwa iwe huru basi itakua tishio zaidi kwenye millitary capability.
Mjumbe wa US UN aliongea wazi bila kupepesa.
 
Ndio maana inabidi huyu Iran wamunyuturolaizi mapema, asije akawa kama kale kadogo pimbi kavuta bange kananyoa panki hovyo.

Pumbavu kabisa.

Kamtu kenyewe kafupi halafu kanene kinoma, vidole kama bando la ndizi. Eti Kimu John Huni,

Pumbavu.
 
Ndio maana inabidi huyu Iran wamunyuturolaizi mapema, asije akawa kama kale kadogo pimbi kavuta bange kananyoa panki hovyo.

Pumbavu kabisa.

Kamtu kenyewe kafupi halafu kanene kinoma, vidole kama bando la ndizi. Eti Kimu John Huni,

Pumbavu.
Iran ishakua neutralized muda sana.
Walipomuweza kwenye vikwazo vya kiuchumi walim paralyze sana Iran.
Maana tokea 1979 economic sanctions ziliwekwa kubwa sana.
Na sasa hivi vita bila uchumi ni kitu kigumu kufanyika.
Sasa hivi Iran anajitahidi sana kuepuka mapigano ili afufue uchumi wake.
Ndio maana hata kuwatumia hao proxies wake ni kwasababu ana avoid direct confrontations na USA and allies.
 
Sasa hapa ndio mana utamuelewa Mrusi kwanini ana pambana kuhakikisha uwepo wa Balance of Power duniani. Kwa mfumo uliopo sasahiv Marekani ndio ana ishikilia dunia sasa anatumika Authority yake vibaya 'mupe muruke'... Israel ina haki ya kushambulia wenzake ila yeye hapaswi kujibiwa akijibiwa tu Kiranja mkuu anaingiliaa, so Strange this one!!!
 
Nani kakudanganya wewe huyo Rais aliekufa na helicopter, hiyo helicopter ilikuwa imetengenezwa USA yani wewe unahuasama na Myaudi alafu unatumia teknolojia yake. Muajemi anachojua zaidi ni kufuga ngamia na majini tu, hapo kwa kweli yupo vizuri.
Hapa naona najadiliana na hamnazo.
 
Kwani hata akisema ni yeye amepigana mtafanyaje? Sioni hoja hapo.

Mbona wamesema walikuwa wamejiandaa kuwaokoa marubani wa Israel kama ingetokea shida, kwani vipi sasa?
Tatizo kwani uogope si useme tu mimi ndio nimepiga, yeye anataka watu wamuogope Israel wakati hana lolote.

Kama muingereza anamuambia Iran asilipe akubali kupigwa tu na Israel.Hivi huyo PM wa UK yuko sawa, na wasi wasi sana na akili za hivyo afu unaendesha nchi 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…