Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Huna unacho kijua bro; waislamu wengi mna mihemko tu, dini yenu wala kitabu chenu hamkijui, mnazijua hasira baasi. Nikikwambia kwamba, ukiwa Saudia jamaa wanawatambuaga waarabu wa nchi zingine kwa aina ya kanzu utaelewa? Saudia kanzu sio vazi la kidini kama mnavyo amini huki, suruali fupi na zile kanzu ambazo zinaishia magotini, mwarabu wa hivo akionekana kule, jamaa wanakwambia, "huyu atakua Mpakistani" lakini huku hali ni tofauti, halafu wanawake, sio Waarabu wote wanavaa zile hijabu za kuficha kabisa so na kuruhusu only macho tu kuonekana; wakiwaona wa hivo again jamaa wanakwambia "huyu atakua na asili ya nchi fulani" huku ndio uislam. Tembea tembea bro, Saudia usikariri kwamba unakwenda only kuhiji, unaweza kwenda hata kumtazama Critiano Ronaldo CR 7 kama ambavyo unaweza kwenda nchi yoyote tu dunianiHapa sasa
Hapa sasa ndio umeyabananga zaidi kwani sherehe ya maulid ni nguzo ya dini.
Nilijua utasema swala zenu hawazijui.