Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

Juzi USA katoa onyo kwa Iran kwamba asijaribu kwa kulipiza shambulio vinginevyo atahadhibiwa.

Vinginevyo hata USA anahitaji vita sababu siraha zake nyingi mpya hajazijaribu ili kuona matokeo.

Kuna sisi ambao tunatamani kuona zikipigwa pande zote as upande wa NATO na ule wa BRICKS, kitu kibaya sisi sisimizi ndiyo tutaumia sana.
 
Wajibu tu ili wafanywe kama gaza na amani itapatikana
 
Sio anahitaji yupe tayar kule anataka tu kiwake na silaha zake zinatumiwa na israel
 
M
MRussi huyu anayehenyeshwa na zele..? 😁😁😁😁
 
Silaha zake USA anapeleka sana Ukraine na zinatumika pia hata vita ya Gaza USA ame supply silaha nyingi sana Israel.
Kwasasa USA haiwezi kuhimili vita mbili kubwa kwa wakati mmoja mkuu.
USA ni binadamu sio malaika au majini wale.
Huko Ukraine tayari mfupa mgumu hawezi akahangaika na fupa lingine middle east.
Ukumbuke red sea pamemsumbua akaondoka.
 
Sijui ata unaongea, hiyo military science mayahudi na US wamefeli, kabisa angalia israel waliposhambulia Iran mara hii hawakusubutu kushambulia wakiwa ndani ya anga la Iran walikuwa Iraq, angalia mifumo ya Iran ilivyoweza kuzuia mashambulizi kutoka kwenye hizo ndege usemazo.

Israel ambao walijitapa kuwa na mfumo bora duniani wa anga Iron Dome na angalia walivyofeli makombora ya Iran yalienda kupiga exactly walivyokusudia na kusababisha madhara makubwa kwenye hayo maeneo ya kijeshi, Irone Dome haikupata hisia zozote waka Iran inashambulia na sasa walipoona hiyo hali mabwana zao sasa wakawambia tutakupeni Thaad ambao sijui kama wamejaribu lakini Hizbollah wanachakaza kila leo huko kusini mwao

Viongozi waliouliwa wa Hizbollah na kule Iran si kwa sababu ya utaalamu sana wa Israel kwa shabaha kama unavyoona ni kwamba kuna mamluki ndani ya jeshi ama maafisa wa hizobollah na Iran wanatumika kuwasaidia mazayuni na ata huko Israel wako wanaoisaidia Iran ambapo juzi kibao Israel waliwakamata wanaowashuku. hakuna chochote ni kichwa chako tu kinakupa ufikirie unavyofikia, mayahudi ni weupe

Mbona wameshindwa kule Lebanon vita ya ardhini na walisema sasa wanaenda chini kuimaliza hizbollah wamerudi kwenye anga??? wewe hujui kitu
 
We dogo leo si mmeanza mitihani ya form 2? Jikite na mitihani tu.
 
Sawa wewe unajua sana, mimi nimekuwa ndani ya Jeshi kwa miaka 27, sijui mimi na wewe nani ni mtaalamu kwenye hiyo field
 
Mkuu mbona wanasema eti Israel hakuingia ktk anga la Iran?
 
Kwani hapa tunabishana nini?

Kwamba hakuna madhara?
Yaani madege mia moja ya kijeshi yashushe makombora kwa muda wa masaa matatu, halafu pasiwepo madhara?

Yaani hata wewe kwa akili yako tu ndogo ya kiislamu unaona hili linawezekana?
Hayo madhara yako wapi kama umeyaona tuoneshe na sisi tuyaone kama yapo
 
Kitu kama hujui bora unyamaze, tokalini iron dome ukawa mfumo wa kudungua makombora, shambulizi la Iran kule Israel lilifeli vibaya mnoo, madhara yalikuwa madogo mno kama una video/picha za hayo madhara makubwa unayoyasema iweke hapa
 
Lakini mkuu, si umesema kwamba Jewish kingdoms existed on the area before common era, kabla hawajashindwa vita na kutawanyika?

Kumbe sasa ile ardhi ilikuwa kweli ni ya wayahudi na walikuwa na haki ya kurudi pale, hili unalionaje mkuu?
bro tuache ngonjera au ushabiki ile ardhi ni ya wapalestina
 
Bado mnasema Israel ndo Taifa Lenye Nguvu...
Anakupiga Mtu halafu onyo anatoa Mwingine Ole wako umrudishie 🤣🤣..
Ina maana anajua Ukimrudishia Watu watajua kuwa hana Nguvu 🤣🤣 kama anavyosifiwa
Mkuu; una kumbukumbu kweli? Si kuna uzi upo hapa, Russia alitoa onyo kama hili kwa Israel kuihusu Iran? Umesahau? Utafute, upo hapa, haujafutwa. Kama Israel hakuogopa mkwara wa Urusi, Iran nae anaweza kufanya the same kwa USA, mbona rahisi tu.
The good thing kwa Iran ni kwamba, ameisha wahi kupigana na USA indirect (refer vita vya Iran Vs Iraqi kwa muda wq miaka 8) na enzi hizo Iran alikua FALA tu; leo ame advance mno; mtu pekee ambaye hajui uwezo wake kiviiile ni Israel, huyu hana uzoefu nae but sio USA
 
Huwo ndio ukweli na babu yake Putin anajuwa. Jambo ambalo wengi hawajuwi Ayatollah yupo nusu dunian nusu ahera saa yeyote mtatangaziwa na mwanae ndio anamrithi yaani iran patachimbika
Tuoneshe kaburi la put in kama akili zipo Sawa
 
We dogo leo si mmeanza mitihani ya form 2? Jikite na mitihani tu.
Napenda dharau kama hizi ...nikija na conclusion wote mlioleta dharau mtakimbia ...PUTIN KUNA KETE AKISUKUMA TU UKRAINE YOTE YAKE BILA YA BUNDUKI ...HIYO KETE ZELENSKY NA NATO wanaijua ...sasa kama wewe ni jinius nitajie hiyo kete ni kete gani na inafanyaje kazi .....watanzania mna uwezo mdogo sana wa kufikiri na kiakili hapa usikute hakuna msomi wala professor yoyote anaye weza kuitambua hiyo kete ni hipi? Hii ndiyo tofsuti ya akili na elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…