Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

Mipasho ya marekani dhidi ya Iran sio mipya
 
Mara ngapi wametoa hayo maonyo na wanapigwa kwenye mshono, US wenyewe ndio walimuomba Israel isiishambulie Iran kwenye maeneo ya nuclear na mafuta kwamba wakiogopa consequences ya majibu kutoka Iran
Samahani mkuu; please I'm sorry. Hiyo conclusion yako kwamba alionya......, kwamba "USA aliogopa consequence ya majibi kutoka Iran" umetoa kichwani kwako au umesoma sehemu? Unajua madhara ya nuclear KUVUJA? Wengi humu tunachangia kwa mahaba na ushabiki zaidi kuliko facts. Israel amekua anafanya anacho kitaka Tehran muda wowote na sio leo, over 10 years na Iran hajawahi kufanya chochote kwa Israel hadi vita hivi vya juzi! Brothers, hivi tunatunzaga risiti kweli? Israel kaua wataalamu wa nuclear wa Iran tena pale pale Tehran na Iran ilijua kwamba hizo ni kazi za Mossaid and he did nothing, Israel juzi ameua rais wao akiwa under escorts ya chopper za jeshi and Iran did nothing, kama haitoshi, wakati wa mazishi ya rais Rais same Israel kaja kaua kiongozi mkuu wa Hamas mahali alipowekewa ulinzi wa kutosha? Guys, wekeni ushabiki pembeni, jadirini facts. Kama kumbukumbu zangu zipo sawa, Iran kamshambulia mu Israel only 2 times na mara zote Israel kajibu, though hi ya pili alichukua over 3 weeks; bado utasema mazayuni waoga? Hi ya pili, USA walivujisha kwamba soon Israel ataishambulia Iran, jamaa wakasitisha but look, juzi wamepiga, propaganda zimekua nyingi kwamba eti madhara yamekua kidogo, wengi humu tukaaminishana, kila mmoja na upande wake, kwa mtu asie na mahaba angejiuliza swali, Israel kapeleka ndege za kivita 100 Iran, Iran anasema madhara yamekua kidogo, that's good, now two questions:-
1. Ndege 100 halafu ushindwe kutungua hata moja na udanganye kwamba hakukua na madhara?
2. Why unakimbilia umoja wa mataifa kwenda kushtaki na hakukua na madhara na wewe unajiamini, mashtaka yako eti Israel kanishambulia, what did you do to him on 01 October?
Ni wavivu wa kufikiri pekee yao ndio wanaweza kudhani Iran hakuathirika na mashambulizi ya juzi Jumamosi
 
Ngojea T14 Armata aje atuletee picha za mashambulizi toka kwa satellite Hehehe
 
Kitu kama hujui bora unyamaze, tokalini iron dome ukawa mfumo wa kudungua makombora, shambulizi la Iran kule Israel lilifeli vibaya mnoo, madhara yalikuwa madogo mno kama una video/picha za hayo madhara makubwa unayoyasema iweke hapa
Anza kuleta kwanza video za madhara makubwa za huko Iran kama unazo
 
Mrusi kachoka sana , vita ya Ukraine bado hajaimaliza na haelekei kushinda karibuni , bado syria alimsaidia Alhasad lakini bado unaona mifumo yake inavamiwa kirahisi tu labda aje na technologia mpya ,
 
Mzayuni wa jf unaona umechambuua mwenyewe kumbe umepuyanga madhara ya nyuklia israhell hawakuyaona wakati wanaripua mitambo ya nyuklia ya Iraq na Syria miaka hio ndege mia zitunguliwe zilikuwa wapi ukiambiwa huna akili utasema unatukanwa kukimbilia umoja wa mataifa kama ndio ujinga basi alianza kuonesha paka maana alienda kulilia pale UNGA mashambulizi yamemuathiri Iran leta picha kama unazo tuone kuua kiongozi kwa kuvizia hata huko kwenu unaweza jengine leta ushahidi wa kuuliwa rais wa Iran pia ulete na sababu za kwanini aliuliwa wazayuni wa jf akili zenu Bure kabisaaa
 
Kwa uandishi huu mbovu ndio unawakosoa watu hapa jukwaani kuwa wana uandishi mbaya.

Hata kupangilia sentensi tu shida, au MEMKWA wewe? Maana wahitimu wa MEMKWA kwasababu ya kuchelewa kusoma na kuandika ndio wanakuwaga na mbwembwe kama zako.​
 
Nyie kila aliye kinyume chenu mnaamini ni Mzayuni? Mimi ni Mtanzania kama wewe, sipendi Israel na Iran wapigane cause mafuta yatapanda bei duniani Tanzania being inclusive. Haya, nikumbushe, ni lini Iraqi iliwahi kua na silaha za nuclear na Israel akazipiga?
 
Usipanic hilo Jina tu nimekubatiza kijana

Hizo kwanza dondoo tu nimekupa uwasikilize wazayuni halisia wanasema je kuhusiana na shambulio dhidi ya Iran pili sijasema wameshambulia silaha za nyuklia huko Iraq na Syria mzayuni wa jf una shida gani kwani
⚡🇵🇸🇮🇷 A member of the Israeli Knesset Vladimir Belyak comments on how there is a large gap between the boastful statements of the cabinet ministers and the actual results of the attack on Iran.

@medmannews
 
Kwanini Russia naye asiweke kibesi hapo? Amwambie IRAN nawe mpige Israel.
Napenda vita, inaleta heshima.
 
Sawa wewe unajua sana, mimi nimekuwa ndani ya Jeshi kwa miaka 27, sijui mimi na wewe nani ni mtaalamu kwenye hiyo field
Kuwa kwenye jeshi miaka 27 haimaanishi utajua ya huko.
Millitary science ya bongo na ME ni tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…