Waziri wa ulinzi Yoav Gallant asema baada ya kuipiga Iran dunia itaelewa mchakato wa maandalizi na mafunzo namna ulivofanywa na IDF

Mimi huwa ananichekesha huyu Edrogan huwa anapiga kelele israel inapoishambulia gaza kujibu ugaidi wa october 7 huwa anamwita Netanyahuu ni hittler cha ajabu edrogan huwa anawaua wakurdi bila huruma kama leo nimeona uturuki ikiwashambulia wakurdi pasipo huruma je huu ni unafiki wa aina gani?
 
iran itapata kichapo cha ajabu subiri uone
 
Nonsense, mzungu anawapumbaza na propaganda za kidini hadi mnafurahia binadamu wenzenu kuuliwa sababu ya biashara za silaha?
vipi kuhusu mwarabu na uislam wake, hiyo siyo propaganda?
 
kama Hizbullah wamewashindwa ndo watawaweza Iran
 
Israeli wanafanya kweli, hawafanyi mazoezi ya kutishia tu.
 
Kongole mkuu ila ntagusia sehemu moja tu Iran kuitumia hizbullah na hamas ni ushindi mkubwa kwake sababu kwake Kuna kua salama ila kwa israhell sasa kama unavyo wanajeshi wake wanakufa nk kwahio proxy anayo tumia Iran dhidi ya wazayuni ni Akili kubwa sana na ndio maana benja paka anataka kuzifuta hamas na hizbollah ingawaje mpaka sasa kafeli ataweza kuzifuta tuupe muda kazi yake
 
Propaganda
 
Kwa hiyo habari zili leak kutoka US
Naona wanajitekenya na kucheka wenyewe
Wachambuzi walishasema haya
Vita ni mbaya kwa sehemu zote
Hakuna faida kwenye vita
 
Irani sio gaza hapo sebuleni Marekani anajua fika tatizo litakalo ikumba dunia pindi Iran akivamiwa, Israel anaendeshwa na mihemko tu lakini kiukweli Irani ni tatizo kubwa mno Iran kwa siku inaweza kufyatua drones zaidi ya laki mbili aina tofauti tofauti tena zenye madhara makubwa ifike mahali mazayuni yaambiwe ukweli
 
iran itapata kichapo cha ajabu subiri uone
Anasubiri kw hamu alishasema kabla lile vumbi la mabomu halijapoa Israeli zile ndenge zake itabidi zitafute sehemu ya kwenda kutua, Mrusi yuko hapo Damascus ni sms tu jamaa kainuka huku nawao wanainuka
 
Muisrael kabaki kupigwa mkwala ohhh watajuta ohhh history itakumbuka wamekuwa mipasho vitendo0 Hofu imewajaa yumkini Iran anaviuma vinatembea chini y dkk8 kufika popote Israel watabakia mipasho uku uhoga umewapalama kichekesho siku Iran kukitokea chochote mlipuko kama ambao ni ajali y kakawaida ata Iran mwenyewe atege kibooom kumpima.. Israel utaona mbio kukana kuhusika kama ile ajali y ndege
 
Unadhani kazi ya kumkimbiza-kimbiza huyo mzee na kumhamisha-hamisha kumficha asijeakaonekana au kugundulika alikofichwa ni kazi ndogo?
Huyo mzee baada ya kutoka kuipa kichapo Israel hivi karibuni tu aliongoza swala dunia nzima ilishuhudia. Au mzee yupi unamzungumzia?
 
Hapa ndipo mnapoona mna matatizo!

Yani unaamini US alitakiwa kumdhibiti Iran tu asikue kitechologia ila amuache Israel afanye atakavyo! Yaani ata ungekuwa wewe ungeweza kuvumilia uo ujinga?
 
Huyo mzee baada ya kutoka kuipa kichapo Israel hivi karibuni tu aliongoza swala dunia nzima ilishuhudia. Au mzee yupi unamzungumzia?
Huyo huyo Ayatollah. Kwani wewe unajua anapoishi maskani yake?
 
Iran inaweza kumeushia isreli missle 1500 ndani ya dakiki arobaini hapo hata wakija ulaaya nzima hawataweza kitu ..na kwa iran hiyo ni gharam yake ni kama 100bl tu kwa usa missle 1500 tunazungumzia karibia trillion 1.4 hapo ndo unaona equilbrim ya vita I alliance wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…