Waziri wa ulinzi Yoav Gallant asema baada ya kuipiga Iran dunia itaelewa mchakato wa maandalizi na mafunzo namna ulivofanywa na IDF

Waziri wa ulinzi Yoav Gallant asema baada ya kuipiga Iran dunia itaelewa mchakato wa maandalizi na mafunzo namna ulivofanywa na IDF

Israel inajitahidi kuionyesha dunia haikubali kudhalilika na kuonekana mnyonge mbele ya Tehran lakini ukweli ni kwamba Israel ni wadogo kivita kwa Iran.

Tatizo ni kwamba Iran ilivumilia uchokozi wa Israel kwa muda mwingi na Israel ikadhani inaogopwa ikaendelea na uchokozi na mauaji lakini sasa Iran imeona njia bora ni kulipiza kisasi kwa kila uchokozi anaofanya Israel.
 
And 100 umesema kweli mm tangu mwanzo nilisema aya Iran yupo juu sana kitechnology kuwapita kenge wa West wote ISRAEL pamoja na mataifa w ulaya washilika awana uwezo wa makombola ya km2000+ 8 dk so wataufyata kimya kwasasa awataki kuumbuka zaid zaid njia wanayoweza kutumia kuiyumiza Iran ni ugaidi kama ule wanautumiaga mossod kuvizia mtu kalala oh yupo njiani lkn vita awamuwezi sababu kitechnology kawazidi vita yasasa ni technology ya juuu zaid. Wewe kuwa na mikambi uko kule una una mivifaaa kibao vyakijesh avisaidii kitu ni sawa na air defence system kwasasa za West na Israeli wanazo aina kibao ukiyaona yanatisha lkn yanawasaidia!!!!! Iiran anapitisha viuma vyake popote air defence inabaki kukodoa macho kama sisi aifanyi kitu. Ndio Iran ujiamini na kusema akuna shetani yoyote mwenye kibuli cha kuishambulia Iran, kwasasa wairani wameifanya ichi yao iwe salama kuishi mwadamu.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mjisomee wenyewe hapo chini kwa kimombo:

Gallant at IAF base: After we strike in Iran, world will understand all our training

By Emanuel Fabian Follow
and Agencies

Today, 5:19 pm

Defense Minister Yoav Gallant on Wednesday told pilots and air crews at an airforce base that “after we strike in Iran, everyone will understand what you did in the preparation and training process.”

Visiting the Hatzerim base ahead of Israel’s promised response to Iran’s October 1 major ballistic missile attack, Gallant said, “Everyone who dreamed a year ago of beating us and attacking us paid a heavy price and are no longer in that dream.”

Israel has held several major drills simulating long-range strikes on Iran over the years in preparation for a possible confrontation with Tehran. On Tuesday, the FBI said that it was investigating the unauthorized release of US classified documents on Israel’s latest preparations for a potential retaliatory attack.

Some social media posts in recent days singled out a US Defense Department employee as supposedly being under investigation for the leak, but offered no evidence.

Speaking to reporters in Rome, US Defense Secretary Lloyd Austin said there were no indications any employees from the Office of the Secretary of Defense were being probed for the leak.
hawana ubavu huo, Hamas mpaka leo wameishindwa, mwaka unakatika. Hawajaweza kuokoa mateka wao.

Lebanon ndiyo wamingia cha kike. Wakiigusa Iran safari hii, Itran wameshatangaza, ndiyo itakuwa mwisho wa mazayuni duniani.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mjisomee wenyewe hapo chini kwa kimombo:

Gallant at IAF base: After we strike in Iran, world will understand all our training

By Emanuel Fabian Follow
and Agencies

Today, 5:19 pm

Defense Minister Yoav Gallant on Wednesday told pilots and air crews at an airforce base that “after we strike in Iran, everyone will understand what you did in the preparation and training process.”

Visiting the Hatzerim base ahead of Israel’s promised response to Iran’s October 1 major ballistic missile attack, Gallant said, “Everyone who dreamed a year ago of beating us and attacking us paid a heavy price and are no longer in that dream.”

Israel has held several major drills simulating long-range strikes on Iran over the years in preparation for a possible confrontation with Tehran. On Tuesday, the FBI said that it was investigating the unauthorized release of US classified documents on Israel’s latest preparations for a potential retaliatory attack.

Some social media posts in recent days singled out a US Defense Department employee as supposedly being under investigation for the leak, but offered no evidence.

Speaking to reporters in Rome, US Defense Secretary Lloyd Austin said there were no indications any employees from the Office of the Secretary of Defense were being probed for the leak.
Huyu naona kamzidi mzee Yusuf ngojera kila siku pigeni achen blah blah
 
Huyu mzee atajifia tu mwenyewe bila hata ya risasi au drone kutumika. Ni katika Hofu kuu umauti utamkuta. RIP in advance.
Hofu na uwoga haijawai kua sifa za uislam hasa kwenye kipindi hiki cha Vita ,.we kondoo wa bwana huezi elewa
Alaf mnasema huyo ni gaidi sasa toka lini gaidi akaogopa kufa ?
 
Exactly Yes. Na baadaye neno hili litatimia:
"Lakini fahamuni jambo hili: Kama mwenye nyumba angalijua saa mwizi atakuja, asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa." Luka 12:39
Tena mahali pengine panasema "Lakini fahamuni neno hili; kama mwenye nyumba angaliijua ile zamu mwivi atakayokuja, angalikesha, wala asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa".(Mathayo 24:43)
Unazungumzia nyumba ya netanyau iliopigwa na drone ?
Acha roho mbaya mwenye nyumba angekua ndani c hali yake ingekua tete
Ebu tafuta msatari mwingine
 
Nanukuu: "Iran yupo hatarini kuliko kipindi kingine chote"
Aisee!? Kweli Iran anaumia sana ndani kwa ndani; Na kazi ya kumsubiri adui ambaye amekuahidi tena kwa kiapo kwamba lazima akudunde lakini hajasema ni saa ngapi, ni lini, mahali gani na kwa ukali wa kiwango gani; halafu tena huku unawasikia wanafanya vikao vya kukujadili namna bora zaidi ya kukutwanga ili maumivu yako yawe ni ya kiwango cha juu ....... Dah! ni mateso makali ya kutosha kisaikolojia.
Mateso haya walikua nayo waisrael mpk wakawa wanajazana airport kukimbia nchi
Tuonyeshe wananchi wa Iran wakiwa kwenye panic mode
Au hata kuandamana kwa uoga
Acheni kujifariji enyi wanafunzi wa paulina
 
Tushajua kiboko y Israel ni Iran uku kwetu tim kobaz n tim jehova wanasema dakika 90 zimesha super power ni Iran maneno yameisha sijui mwambieni arushe ata jiwe anatakiwa aingie kwenye mfumo kwasasa tushajua Iran sawa na yanga wameshindikana kwasasa aya menono ndio ivyo kutapatapa Israel anawapiga vibonde tu kama hamas lkn kwengine uko ata jeshi la ardhin anaenda kuumbuka kama miaka y nyuma hamas shupavu sana kupitiliza tatizo awana viuma vyakisasa ndiomana adiLeo IDF wapo gaza.
 
FB_IMG_17297450875337214.jpg
 
Aseme tu ni Marekani ikaipiga Iran kwa kutumia ardhi ya Israel
 
muyahudi kutoka yombo vituka
ungemuliza huyo jewish mwenzio lini watampiga muajemi
maana tumechoka maneno tunataka kiwake
Madhara tutayaona hadi huku. Usiombe vita
 
Kwa hiyo wao Iran wamelala usingizi wanasubiria Kupigwa??? Hata Idara zao za ujasusi na Satellite zao za kijasusi hazijui lolote wako tu kama sisi hapa Tanganyika!!!

UKweli ni kwamba Israel wanajua vita na Iran ni ngumu na wanajua kabisaa na boss wao US vita ile sio rahisi na kwa kuwa kuna vichaa walokole wanaoamini israel ni nchi ya Mungu na sisi wengine huyo Mungu hatujali sasa tulitokea wapi???

Huyo Mungu anaeona watu wanauwawa Gaza na hasaidii wala hajali yeye yuko wapi?? Shida pale ni ardhi si angeimgilia apanue eneo pale liwe kubwa hawa wauaji wa israel wasiue watu wakae na gaza wakae..Haya mambo ya kufikirika. Uongo mtupu Israel itatusaidia kuanzisha vita ya 3 na zikipigwa tutapata akili ya kujipanga upya ule ujinga wa Austria- Hungray na Ujerumani ndio huu huu ujinga wa Marekani na Israel !!

Kilichovunja Ule ujinga wa Ujerumani kuwalinda hao Austria- Hungray ni Vita ya Dunia na vita nyingine ya Dunia itavunja huu mnyororo wa US na Israel..

Kizazi kingine kitakuja kuishi kwa heshima ndio mana nasema bora Nuclear ipigwe tuanze upyaaa...
 
Usiwe na haraka. Kila vita na strategy yake. Ukikurupuka na strategy mbovu unafeli kama walivyofeli Hamas na Hezbollah.

Iran yupo hatarini kuliko kipindi kingine chote.
Anachotakiwa kufanya Israel ni kumpiga Iran kiasi kwamba Iran ashindwe kuwa na nguvu za kujibu mapigo. Je, inawezekana? Kama inawezekana, inawezekanaje?
Maana kama Israel atampiga Iran pigo ambalo litaweza kufanya Iran waweze kujibu mapigo, sijui Israel itakuwa kwenye hali gani.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mjisomee wenyewe hapo chini kwa kimombo:

Gallant at IAF base: After we strike in Iran, world will understand all our training

By Emanuel Fabian Follow
and Agencies

Today, 5:19 pm

Defense Minister Yoav Gallant on Wednesday told pilots and air crews at an airforce base that “after we strike in Iran, everyone will understand what you did in the preparation and training process.”

Visiting the Hatzerim base ahead of Israel’s promised response to Iran’s October 1 major ballistic missile attack, Gallant said, “Everyone who dreamed a year ago of beating us and attacking us paid a heavy price and are no longer in that dream.”

Israel has held several major drills simulating long-range strikes on Iran over the years in preparation for a possible confrontation with Tehran. On Tuesday, the FBI said that it was investigating the unauthorized release of US classified documents on Israel’s latest preparations for a potential retaliatory attack.

Some social media posts in recent days singled out a US Defense Department employee as supposedly being under investigation for the leak, but offered no evidence.

Speaking to reporters in Rome, US Defense Secretary Lloyd Austin said there were no indications any employees from the Office of the Secretary of Defense were being probed for the leak.
nimesoma,basi tusubiri tujionee
 
Back
Top Bottom